Ngambo,Mwananchi wa kawaida akisikia na au kusoma anapagawa kabisa, hajui tofauti ya ujenzi na usanifu kwake vyote ni sawa ni kama kaliona daraja. Usisahau kuwa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa Oktoba 2009 ambao wenzetu wameushupalia kwelikweli,huu ni mtaji kwao.
Itakuwa faraja kubwa kwa wananchi wa kutoka kilombero kuepuka hadha ya vivuko vilivyokuwa vinahatarisha maisha yao.
Hongera Serikali kuliona hilo na kujenga daraja.
Huhitaji kutoa hongera kwani hiyo ni haki yaatu wote wa ulanga.
Mnatakiwa kuuliza pamoja na ressources zote kwa nini siku zote hakujawa na daraja.
hii sasa unawakuwa too negative!!!dunia inakwenda mbele,ni sawa na kumwuliza mzazi wako mbona uli-mature siku nyingi kwa nini hukunizaa!!!tuombe mungu lijengwe na sie akina bambo tupate njia ya mkato.