Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Mimi kwa kweli familia ya Mzee Zoro huwa naishangaa sana kwa uzingu wao mwingi we si unamuona mzee mwenyewe? We kama Mzee anawela kalikiti na kuvaa hereni pamoja na mavazi ya kina Nguli wakati umri wake umeenda unategemea nini? Hapo ni watoto wa kiume kusuka na wakike kukaa uchi tu.

Halafu huyu Maunda si alikuwa na mimba? Keshajifungua tayari?
 

Maelezo yako yanaonyesha hicho kivazi hakifai ndiyo maana nasi tunasema hakifai. Dada zetu jiangalieni, huyu kaacha kichanga nyumbani hivyo!
 


hapana,this is too much!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Utamaduni wetu tunaupeleka wapi?
Tena hana mwezi tangia ajifungue....

Mimi aliniacha hoi wakati anahojiwa na tbc,siku ya onyesho...alikuwa anamshikashika babayake utadhani ni ....hapana....

Hivi ana mme kweli?
 

Si alikuwa mjamzito siku za nyuma? Je alishajifungua? Nakumbuka siku JK anazindua Zinduka ya Malaria alikuwa mjamzito pia katika mtukio mengine alionekana hivyo? Au macho yangu yalikuwa kengeza? Lo nipeni miwani?!
 
Kuna mdam flani hivi humu alisema Maunda ni mjamzito.
Mbona hana dalili au ndo alichoropoa?
 
Hiyo ni tabu ya baadhi ya mastaa wetu wa bongo hasa wasichana, wakishajulikana tu wanageuka kuwa milupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…