Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Duuuh ni nomaaaaaaaaaaa:rofl: hicho kivathi jameni ndo UTHUNGU HUooo.. mboni kathi ipoo..
 
Huyu ni punguani kabisa tena limbukeni wa starehe halafu hana hata aibu kuvaa uchi mbele ya baba yake mzazi na kaka yake, kawatia aibu sana siku ile baba yake Mzee zahil Ally zorro na kaka yake Banana ambao walikuwa wakijiinamia tu, Banana na baba yake ni watu wanaheshimika kwenye jamii ya wapenzi wa music wa Bongo. Jirekebishe wewe dada na acha kuwatia aibu baba na kaka yako na familia zao
Mfunyuku
Huyu Mzee Zamani nilikuwa namkubali sana enzi zile akitupigia Music pale JKT Mafinga, halafu alikuwa anatungatunga Vitabu vya hadith za kipelelezi nilikuwa sikosi kununua nakala ya vitabu vyake, lakini siku hizi nikimuangalia naona kama siyo yule!!! Ni mtu mwingine kabisa, Ile heshima ya zamani kama ameacha ipotee vile?!!!!! Inasikitisha.
 
Kuna watu kwao heshima ni ya kununua ..Binti unavaa kama unaenda kujiuza ?????????????
 
maunda+zorro+kili+awards+%282%29.JPG


attachment.php


OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?<!-- google_ad_section_end -->

Uzuri wa Mkakasi ........
 
Shemeji, huyu mdada mbona kanimaliza sana? Hiki si kivazi cha biashara tu? Unaweza kukuta tabia yake safi sana, kama Beyonce vile. Hivi una simu yake unitupie? Wengine sisi Wanyamwezi, kangozi keupe ni Limbwata tayari 🙂

attachment.php


heheee ndani kipande cha mti.......duh NYU sahihisha hapo!!!
 
Huu uzungu wa wazazi na wana wao, mmh! Lakini kama baba mwenyewe amekaa ki'papaa mukuluuuu', macheni kibao, what do you expect watoto wafanye?

Yule baba kama pu.nga flani hivi!
 
Back
Top Bottom