Huyu nahisi ni nung'aembe. Na baba yake ndiye anayelea hii tabia, maana na mwenyewe haeleweki ni kurembua tu, kalikiti na hereni kama choko, sasa utategemea nini kwa wanae?
Lakini kama angekuwa ameolewa na mumewe anamfurahia hivyo, au angekuwa hajazaa kwa hiyo hakuna mtoto atakayekuja kuonea aibu mambo ya mama yake, mi naona poa tu atuonyeshe hayo mamtindi, mgongo, tumbo nk, kama yana burudani tutapata kwa macho. Mi huwa nachukia kama mtu ana jiumbo lake baya kama gunia lililojaa viazi, hajaoga vizuri, ana mibakabaka halafu kajikandika mapoda machafu kama yale ya yule Fideline Iranga, yule ndiye anayenichefua maana nikiona napata mshtuko kama vile nimeona dudu la kutisha. Lakini mabinti wazuri wakionyesha walichojaaliwa na mola wao mi naona mashallahu.