Kivazi cha Ally Rehmtullah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivazi cha Ally Rehmtullah

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Msanii, Dec 30, 2010.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimependa ubunifu wa mshkaji.

  ally.jpg
  lakini mhhh! hiyo handbag na style ya bowtie inanipa mashaka kama ilikuwa kwa ajili ya kupiga picha tu au ndo mtoko wenyewe.... Mliokuwepo kwenye TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA iliyofanyika DSM
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Haluahalua,mtoto asmilat!!!
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hizo handbags za wanaume mbona kawaida sana Milano? Sema jengine kaka
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wizo-ally.jpg
  Angalia tshirt hiyo. shigo yake siyo style ya kumeni.
  Au ndo ubunifu to the next era??

  [​IMG]


  [​IMG]
  Hicho kibegi kimeonekana occassions tofauti...

  Nini tunachojifunza hapo?
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  [​IMG]
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huwezi kumtegemea fashion designer avae kaa anavyovaa mtu mwengine mtaani. Hatauza kazi zake.
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Lazma avae yeye hana ma models?
   
 8. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku moja watafashen blauz vazi la kiume
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ila ubuifu wake ninaufagilia sana maana analeta new taste ktk fashion industry ya bongo ingawa style zake karibuni ni western
   
 10. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmmh mi ntakuwa wa mwisho kuvaa such designs na kutembea na handbag za design hiyo!! Acha nionekani mshamba tu.....!!!
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,427
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  nimependa macho yake akuna design ya macho yake
  tununue ama alishalamba mkunjatini
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Lazima avae yeye. If yeye mwenyewe hakiamini kile anachoki-design kiasi cha kukivaa, kwa nini watu wengine wakinunue?

  Madesigners wa nje pia wengi wanavaa vituko

   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Gaijin, Unamtetea mno huyu kijana.
  hebu declare interest kwanza best
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkunjatin ni kitu gani?
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ........hamna kitu mkuu. Mimi nilikuwa na state facts tu.

  Ukienda maduka yenye majina kwenye miji mikubwa yoyote handbags za wanaume ni kawaida na bei yake ni hatari!

  Kuvaa vituko kwa designers pia ni kawaida.

  Note: Sijatetea kuwa tabia hiyo ni sawa au la, nasema kuwa siajabu tu. :D


   
 16. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,770
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Anavutia!!
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nkuu Gaijin niekusoma.
  Ila unaposema handbag za kiume nakuelewa ila style ya hiyo handbag ndicho nilichojadili hapa. Unajua handbag za kike zinajulikana kwa kuzitazama tu. Sasa hii tabia ya mtoto wa kiume kuchukuwa handbag ya dada yake na kutoka nayo mtaani au kwenda nayo kwenye aoccassion kubwa halafu unakwenda public to even wasiokuwepo ukumbini, hapo natilia shaka uadilifu wa kifikra alio nao mtu kama huyo.

  Narudia kuwa designs za Ally zimetulia ila anavyotoka inatia shaka sana. Kwa nini nasema shaka, kwa sababu tuna designers hapa bongo wa kiume lakini kimaadili wapo kinyume na jinsia zao (wanaume) na wanajulikana (sitaji majina)... Pia asilimia kubwa ya designers wa ulimwengu ni shogaz kwa kwenda mbele. Wenyewe wanasema hivyo na kadhalika.
  Najadili hapo..........
   
 18. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  he looks like tafunwable!
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  haya dada kamtambulishe kwenu huyu basi kama mumeo mtarajiwa kaa ukoo haujakutenga

  [​IMG]
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Haya bwana.

  Mie simo kwenye ku speculate maisha yake binafsi.
   
Loading...