BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
hahahahahaha. Mi cjavaa hvyo. Kuna jamaa angu m1 hvi ni leader wa chama flan cha siasa kikongwe ndo alvaa hvyo mara ya kwanza wakat anatia mguu Dar toka Mkoani. Leo nikimkumbusha anakataa katakata. Hahaha.
aisee ningemkimbia ubungo...uvaaji huo kama mpiga tarumbeta...hapana!