kivaz cha leo??

Haya beibe nasty nimesharudi kazini,nimeshavua ki2 cha nyavunyavu,nime2pia ki2 cha tight hadi ugokoni juu nimetinga bra tupu,nakatiza mitaa kama sina akili sawasawa beibe nasty upo?
 
Last edited by a moderator:
Madame B, unampango gani na hvo vitu ulvyotupia? Unataka watu waache kuniangaliaee. Au tutembee wote kuepusha ugomvi
 
Last edited by a moderator:
Hahhahhaaaa madamee natuma ambulance haraka saana haiwezekani

Itawezekana 2,ungeniona beibe nasty ninavyoruka tope la huku kwetu,ungebroo..!!
Ambulance inamfaa yule anayejibanza pale karibu na kivuko.
Maana nackia kwa kupiga mieleka yule balaa...!!
 
Last edited by a moderator:
Itawezekana 2,ungeniona beibe nasty ninavyoruka tope la huku kwetu,ungebroo..!!
Ambulance inamfaa yule anayejibanza pale karibu na kivuko.
Maana nackia kwa kupiga mieleka yule balaa...!!

Hahahahahaha uwiii my mbavuu hahahaahah jamn nisamehe madame pliiiz
 
Last edited by a moderator:
Madame B hcho kivazi!!! Mmmmmmh!

Acha bwana yani Mapi huku kwe2 raha 2pu,uki2pia kiguo chochote kile mwake...!!!
Nipo hapa kijiweni napunga upepo,ungeniona Mapi ninavyojiramba..!!
Acha tu.
Mwenzangu ume2pia swaga gani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha uwiii my mbavuu hahahaahah jamn nisamehe madame pliiiz

Teh! Teh! Teh!
Mpiga mieleka yule,bahati yake hana mwili,ningempeleka Japan akacheze Sumo. beibe nasty sitaki kukuvunja mbavu,ntapata mada kesi bure..!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi nini maana ya neno "nimetupia"?mbona mwatuchanganya sie watu wa unguja?
 
Hivi nini maana ya neno "nimetupia"?mbona mwatuchanganya sie watu wa unguja?

alaa weye Kingmairo we wajua tende na haluwa tu,vingine akha nshwariii...!!!
Asa n'sikie kutupiaaa,twamaanisha swaga ulizotinga,
au sijaeleweeka Kingmairo,
uliza 2,akha n'takujibu miye...!!
 
Last edited by a moderator:
Junior. cux ndo kusema hujansamee, mbna kimya mwenzio? mwishowe utaninunia had mtaan mwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom