kivaz cha leo??

kivaz cha leo??

chini nina kitu cha kiatu rang nyeupeb[chomamoyo kwa mnaoifaham] suruali blue, juu shati ya mixa ya kijani, njano na nyekundu...utantakaa sasaaa
 
Kama kawaida yangu, nimepiga khanga juu na chini, nasubiri niingie jikoni
 
Mimi mama yenu leo nimetoka sana,
nina nyeusi na blauzi damu ya mzee yenye mistari
lol, nimetokaje leo.
 
na joto la hili jiji npo na pens black, chin sendoz za macklet khak juu tishrt dark green... wit few madaftari naingia lecture

Halafu kumbe ndo wewee, nimekuona mahali unatuma hii post, lol.
 
chini nina kitu cha kiatu rang nyeupeb[chomamoyo kwa mnaoifaham] suruali blue, juu shati ya mixa ya kijani, njano na nyekundu...utantakaa sasaaa

Heeeeee kweli hapo ni utatakwaa tuu mmmmh
 
xup mbona ujaxema we umetupia nin thatha..
Leo mimi nipo ndan ya kigauni kimoja hivii short one n kinarangirangi kama nne hivi
Blu nyeupe nyeus n light green,chin nina simle black, blugreenish button earings,my watch kama kawa the black one my black handbag ntake nini tena wish unione junior
 
dah na ulivyobarikiwa miguu cpat pcha unavo itendea haki hiyo shrt skirt.. pitia uku bax nkuone kabsa
 
haya kumekucha na makucha yake kama kawaida mi lazima nikujulie hali wewe mwana jf, jaman ila nataka nijue leo umevaaje? Umetokelezeaje judgement swir,mbuty,kongosho, firstlady1, b52, young master, maprosoo, charming girl, na wengine wengi
N.B.: rangi muhimu kusema.
beibe nasty, me nimetupia kiskirt changu cha ukweeee, dah huwa nakipenda sana na shati la mikono mifupi la rangi ya light blue na kiskafu cha kishkaji c unajua tena wadada "kitu skafu eeh" ya rangi nyeusi. for shoo am presentable today hadi najikubali! Mkoba kitu cha cha SUSEN na kwa chini leather ya ukweli inayoendana na mkoba.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom