kivaz cha leo??

beibe nasty, me nimetupia kiskirt changu cha ukweeee, dah huwa nakipenda sana na shati la mikono mifupi la rangi ya light blue na kiskafu cha kishkaji c unajua tena wadada "kitu skafu eeh" ya rangi nyeusi. for shoo am presentable today hadi najikubali! Mkoba kitu cha cha SUSEN na kwa chini leather ya ukweli inayoendana na mkoba.......

vip tena, unamtoko nin leo.??
 
Mimi mama yenu leo nimetoka sana,
nina nyeusi na blauzi damu ya mzee yenye mistari
lol, nimetokaje leo.

Mamndenyi wewe ndo nimekuona hapo JAMARATI restaurant?...khaa mbona huo m-blauzi mkubwa ivo?...ka teneti...
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty, me nimetupia kiskirt changu cha ukweeee, dah huwa nakipenda sana na shati la mikono mifupi la rangi ya light blue na kiskafu cha kishkaji c unajua tena wadada "kitu skafu eeh" ya rangi nyeusi. for shoo am presentable today hadi najikubali! Mkoba kitu cha cha SUSEN na kwa chini leather ya ukweli inayoendana na mkoba.......

Oooh mama kama nakuona
 
Trouser black na whte tshet yenye nembo ya Jamii Forums upande wa kushoto kifuani. Chn nimetnga simple sandals...
 
Leo mimi nipo ndan ya kigauni kimoja hivii short one n kinarangirangi kama nne hivi
Blu nyeupe nyeus n light green,chin nina simle black, blugreenish button earings,my watch kama kawa the black one my black handbag ntake nini tena wish unione junior

beibe nasty mguu wa gauni fupi unao?au umeamua kuchekesha umati...na hizo rangi kwenye gauni lako kama bendera ya GHANA?...teheee!...
 
Last edited by a moderator:
Trouser black na whte tshet yenye nembo ya Jamii Forums upande wa kushoto kifuani. Chn nimetnga simple sandals...

Nicas Mtei usitudanganye bana...sema ulichovaa...shati la kitenge cha mawingu na suruali yako ya kijani yenye marinda...eti unamechisha!
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei usitudanganye bana...sema ulichovaa...shati la kitenge cha mawingu na suruali yako ya kijani yenye marinda...eti unamechisha!

hahahahahaha. Mi cjavaa hvyo. Kuna jamaa angu m1 hvi ni leader wa chama flan cha siasa kikongwe ndo alvaa hvyo mara ya kwanza wakat anatia mguu Dar toka Mkoani. Leo nikimkumbusha anakataa katakata. Hahaha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom