Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule ule tangu tarehe moja ni ajali.
kuna vitu vingine lazima tu tuwe na akili ya kujihoji kwanini kipindi cha kangi Lugola ajali zilipungua kwa kiasi kikubwa?
Kwanini sasa hivi kuna mlolongo wa ajari kila week watu wanakufa na ajali nyingi zinahusisha mabasi tatizo nini? Sasa hivi hadi kuna ligi za mabasi watu wanabeti na inajulikana kabisa iko wazi, lakini mhusika hata kutoa tu tamko kashindwa?
Waziri yupo tu anazurula zurula inamaana ameridhika na ajari hizi?
Imekua Tanzania ya ajali sasa hivi. Kiukweli Waziri Simbachawene sasa hivi tuambiane ukweli tu hiyo nafasi hauiwezi imekushindwa swala la ajali barabarani limekushindwa huna mbinu, umezidiwa hadi na Kangi Lugola.
Utoke tu hapo utupishe.
Inaumiza sana na inatia hasira.