TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Bila maneno mengi nakupongeza sana mheshimiwa Waziri George Simbachawene kwa kumulika hili.
Nchi hii wapo wakuu wa idara mbalimbali na wasaidizi wao ambao wapo waliopo kwa faida ya Rushwa. Wapo walio toa pesa na wapo walio toa ngono hadi ndoa kuvunjika.
Kwa agizo lako mheshimiwa najua wahusika wamekuelewa,ni wakati sasa wa ethical leaders kutawala nchi nzima.
Uzalendo ulipotea sana na ndio maana juzi kati nikiwa halmashauri ya Lushoto nilishuhudia kauli ya kuumiza kutoka kwa kiongozi mmoja abasema yete siyo mzalendo, hayo ni mambo ya umasikini, yeye kazi yake ni kutafuta pesa tu, NILICHOKA, hii imenikumbusha Leo baada ya kukusikua mheshimiwa Simbachawene.
Mimi kama mtumishi wako tena Mzalendo hasa nakupongeza na udumu katika kututumikia sisi watumishi wako na tuko tayari kudumisha maadili ya kazi kwa maendeleo ya Taifa hili.
Tunashudia watu wamepewa madaraka ya uongozi wa taasisi ili hali hawana uwezo kabisa, yote hiyo ni matokeo ya Rushwa.