H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Taifa linaongizwa kwa sheriana sio kwa Machale ya viongozi Taahira wewe.Wewe kichaa kabisa. Unataka watu badala ya kufanya kazi na kubuni miradi ya maendeleo wabaki kusimama pembeni ya majukwaa wakisiliza sera, hata wakati ambapo muda wa uchaguzi na kampeni umekwisha?
Unataka nchi iingie kwenye anarchy kwa sababu tu ya kigezo cha uwepo wa demokrasia. JK aliruhusu demokrasia kwa upana wake, mtanzania wa kawaida ilimsaidiaje hali hiyo akaweza kuishi maisha mema zaidi?.
Huko Ulaya ambako bajeti yetu inachukua fedha za uendeshaji wake, wanao muda wa siasa na muda wa kubuni miradi ya maendeleo. Huwezi ukategemea siasa na demokrasia zikuongeze pato la taifa lako kama kweli wewe sio certified mental case.
Unataka usaidiweje uelewe. Kwanini usiache nature ichukue mkondo wake
Kama kweli uyalipokayo hapa ina maana mnaelewa kua wananchi ni mazwazwa kiasi mnawasaidia wasipotezewe muda na wanasiasa kwani wenyewe hawafikiri ? Kwwnini uende kwenye mkutano wa kisiasa wakati unakazi ya kufanya
Wewe taahira acha kujadili watu jadili hoja
JK Mara sijui nani ni matokeo ya mtindio wa akili