Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Mkuu hebu iweke habari yako katika aya.Hili lilikuwa ni somo dogo katika Somo kubwa la Kiswahili darasa la tano.Maada iliitwa "UTUNGAJI",hapa unakutana na imla,kutunga sentensi n.k

Turudi kwenye hoja:Huwezi kuitikia mwito ambao umekiuka sheria au una utata kisheria.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm,ambapo katika anuani ya bunge hainyoshi kuwa Mbowe ni Mkazi wa mji huo,hana "nguvu" ya kumuita Mbunge wa Jimbo la Hai,mkazi wa Hai,Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,na Waziri Mkuu Kimvuli kama vile anamuita Wema Sepetu.

Huyu ni kiongozi,ni mbunge...na ukumbuke wakati anaitwa ilikuwa ni kipindi cha Bunge,hivyo mwito huo ulipaswa kuwa rasmi kupitia kiongozi wa bunge ambaye ni Spika.Huwezi kumuita "kienyeji" Mbunge na KUB ambaye ktk nchi za Jumuiya ya Madola huyu ni Waziri Mkuu Kimvuli,sauti ya upinzani na vyama mbadala ktk nchi.Jamani hamjui hata "Concept ya Political Pluralism" ktk nchi?

Huyu ni VIP...Ana diplomatic Pass...Huwezi kumuita kihuni huni kwa sbb ya "tuhuma tu".Yeye kuitikia mwito wako,ni kukubaliana na upuuzi wa uvunjaji wa taratibu ulioufanya.

Huyu Makonda madaraka yake mwisho daraja la mto Ruvu,ni uzuri wa teknolojia tu kwamba yale majina anayotangaza anatumia radio na Tv zilizofika mpaka Kalambo,Nkasi na Kibondo.Huyu ilitakiwa atangaze kupitia E-Fm na Praise Power Radio ambazo mawimbi yake yanaishia Mapinga Bagamoyo na Mlandizi-Kibaha.
Wapinzani kujikweza bwana
 
Inasemakana 50% ya Blacks IQ yao iko kwenye mstari ambao whites wanakuwa categorized kama Wenye mtindio wa Ubongo
Wewe na waliokwenda yawezekana mko ndani ya wale ambao wangekuwa wazungu mgewekwa kundi la wenye mtindio wa Ubongo lakini tunaoona uharamu wito na busara ya mkataa wito haramu tupo katika wale wenye ubongo komavu.
Sio kosa lako wala la mtoa mada ni matatixo Tu
Mkuu kabla wewe hujapata akili ya kusoma hizo habari za wazungu sisi wengine tulishaachana na hivyo vitabu ambavyo mnavisoma katika miaka ya sasa.

Bilicanas kabla haijabomolewa ilichangia sana katika mauzo ya kila aina ya uchafu, hawa mastaa ambao unawashabikia, wengi wao wamejifunzia uchafu katika vyoo na viti vya klabu ile.

Pengine wakati huo ulikuwa bado unatembea kwenye kiuno cha Baba yako mzazi. Wito wa RC wa Dar, wewe huwezi kuelewa maana yake na lengo lake haswa ni nini.
 
Mtindio wa ubongo sio kwa vijana pekee japo waonyesha wewe ni Mzee lakini ukweli kuwa uwezekano wa wewe kuwa miongoni mwa wale 50% wenye mtindio ni mkubwa kwa kuwa ulizaliwa enzi za Huduma mbovu za afya.
Kuhusu billicanas ni hoja ya wenye mtindio wa ubongo perse.
Club inakuwa pahala pa kusanyiko la watu wenye nia na malengo yanayofanana na vision na mission ya mwanzilishi
Hivyo sio kweli kuwa billicanas vision yake na mission yake ilikuwa kuwaharibu wasanii sana sana wao ndio wameiharibu billicanas naamini mwenye billicanas lengo lake ni kutafuta pesa kwa kuweka sehu ya kuburudisha watu hayo mengine ni kutokana na mtindio wako wa ubongo.
Kinachosemwa hapa ni Mbowe kuitwa na sio Club Billicanas kubomolewa
Ni dhahiri wewe ni mmoja wa wenye mtindio wa ubongo kiasi huwezi kujenga hoja kwa kuangalia msingi wa hoja. Anyway Mimi nimehudhulia club billicanas ya miaka ya 80+ Ikalus ikiwa ndio mtindo wa mjni kwa wajanja wa kwenda kuangalia Bruce lee na akina chuck Norris...
 
Dogo mtindio wa ubongo mnao nyinyi wa kizazi cha smartphone. Ambao hamjielewi kwa sababu ya bangi, mirungi na vitu vyote ambavyo wakati wa ujana wetu havikuwepo.
Wewe dogo huwezi kunielewa zaidi ya kutumia matusi ambayo pia huyajui na huyawezi.

Yanayoamuliwa na mfumo wa nchi, mimi na wewe hatuwezi kuyahoji kwa undani kwa sababu hatuyajui.

Huyo mkuu anatakiwa akapimwe mkojo, watu wajiridhishe iwapo ni mzima au la. Mengineyo ni mazungumzo baada ya habari.
 
Kushindwa kuhoji na kusingizia huyajui ni moja ya taarifa muhimu kuonyesha una mtindio wa Ubongo.
Mimi nimekuwa kipindi ambacho sinema za X zilikuwa ni Yellow Emmanuelle na The hot Bubblegum
Kipindi ambacho kina Bud Spencer ,Bruce Lee na Chuck Norris walikuwa juu
Sifahamu kama kipindi hicho ndicho cha kizazi cha Smart phone.
Una mtindio wa ubongo ndugu
 
Mtindio wa ubongo sio kwa vijana pekee japo waonyesha wewe ni Mzee lakini ukweli kuwa uwezekano wa wewe kuwa miongoni mwa wale 50% wenye mtindio ni mkubwa kwa kuwa ulizaliwa enzi za Huduma mbovu za afya.
Kuhusu billicanas ni hoja ya wenye mtindio wa ubongo perse.
Club inakuwa pahala pa kusanyiko la watu wenye nia na malengo yanayofanana na vision na mission ya mwanzilishi
Hivyo sio kweli kuwa billicanas vision yake na mission yake ilikuwa kuwaharibu wasanii sana sana wao ndio wameiharibu billicanas naamini mwenye billicanas lengo lake ni kutafuta pesa kwa kuweka sehu ya kuburudisha watu hayo mengine ni kutokana na mtindio wako wa ubongo.
Kinachosemwa hapa ni Mbowe kuitwa na sio Club Billicanas kubomolewa
Ni dhahiri wewe ni mmoja wa wenye mtindio wa ubongo kiasi huwezi kujenga hoja kwa kuangalia msingi wa hoja. Anyway Mimi nimehudhulia club billicanas ya miaka ya 80+ Ikalus ikiwa ndio mtindo wa mjni kwa wajanja wa kwenda kuangalia Bruce lee na akina chuck Norris...
Mzee Mtei ambaye ni mwanzilishi wa CHADEMA Ttarehe 10.02.2017 kasema ni aibu kubwa kwa mtu anayekiongoza chama kuhusishwa na madawa ya kulevya.

Mzee Mtei kamshauri mkwewe kuhusu umuhimu wa kujitathmini kama anafaa kuwa kiongozi mkuu wa chama au hafai.

Huyo ni mzee Mtei, ina maana na yeye anao mtindio wa ubongo?. Ina maana na yeye hajitambui kama wewe unayetokwa povu humu JF?.
 
Kushindwa kuhoji na kusingizia huyajui ni moja ya taarifa muhimu kuonyesha una mtindio wa Ubongo.
Mimi nimekuwa kipindi ambacho sinema za X zilikuwa ni Yellow Emmanuelle na The hot Bubblegum
Kipindi ambacho kina Bud Spencer ,Bruce Lee na Chuck Norris walikuwa juu
Sifahamu kama kipindi hicho ndicho cha kizazi cha Smart phone.
Una mtindio wa ubongo ndugu
Mtindio wa ubongo mnao nyinyi ambao kaka Aikaeli akikohowa mnapatwa na TB.

Mbowe anapaswa kwenda polisi na kuwaprove wrong huko huko, na sio kutengeneza mazingira ya kuweka siasa kwenye suala serious zaidi ya siasa.
 
Mzee Mtei ambaye ni mwanzilishi wa CHADEMA Ttarehe 10.02.2017 kasema ni aibu kubwa kwa mtu anayekiongoza chama kuhusishwa na madawa ya kulevya.

Mzee Mtei kamshauri mkwewe kuhusu umuhimu wa kujitathmini kama anafaa kuwa kiongozi mkuu wa chama au hafai.

Huyo ni mzee Mtei, ina maana na yeye anao mtindio wa ubongo?. Ina maana na yeye hajitambui kama wewe unayetokwa povu humu JF?.
Sasa wewe kazi yako ni kunukuu Tu na huamini kuwa ubongo wako umeganda ? Kama Mzee Mtei kasema kuhusu kutuhumiwa na hapa mjadala ni Mbowe kukataa kwenda kutii wito haramu bado hujaona kuwa wewe una mtondio wa ubongo ?
Wajanja tunajua mpango mzima ulikuw ni kuharibu CDM kabla ya 2020 ikiwa ni uwoga dhidi ya matokeo kama ilivyoashiria 2015. Madawa ya kulevya ilikuwa ni Slogan Tu
Kwa CUF bara !anaonekana wamefaulu mpango wao kupitia Msajiri na Propesa
CDM ngoma nzito wakatafuta Madawa ya Kulevya kwa kuwa wanajua wengi MNA mtindio wa ubongo hamuwezi kufokiri.
Hivyo Gwajima ambaye ni wazi alikuwa pro Lowasa na wengineo wakaingizwa
Kuwa kiakili uweze kupambanua
 
Mtindio wa ubongo mnao nyinyi ambao kaka Aikaeli akikohowa mnapatwa na TB.

Mbowe anapaswa kwenda polisi na kuwaprove wrong huko huko, na sio kutengeneza mazingira ya kuweka siasa kwenye suala serious zaidi ya siasa.
Kwa.kuwa una mtindio wa ubongo unafikiri kila anayeunga mkono msimamo wa Mbowe ni CDM hujazoea kuwaza na kutengeneza nadharia ambazo unatakiwa kuzipima. Vita ya madawa imeanza baada ya kuunda kwa kamisheni na sio vinginevyo
Pole Mkuu sio kosa lako
 
Sasa wewe kazi yako ni kunukuu Tu na huamini kuwa ubongo wako umeganda ? Kama Mzee Mtei kasema kuhusu kutuhumiwa na hapa mjadala ni Mbowe kukataa kwenda kutii wito haramu bado hujaona kuwa wewe una mtondio wa ubongo ?
Wajanja tunajua mpango mzima ulikuw ni kuharibu CDM kabla ya 2020 ikiwa ni uwoga dhidi ya matokeo kama ilivyoashiria 2015. Madawa ya kulevya ilikuwa ni Slogan Tu
Kwa CUF bara !anaonekana wamefaulu mpango wao kupitia Msajiri na Propesa
CDM ngoma nzito wakatafuta Madawa ya Kulevya kwa kuwa wanajua wengi MNA mtindio wa ubongo hamuwezi kufokiri.
Hivyo Gwajima ambaye ni wazi alikuwa pro Lowasa na wengineo wakaingizwa
Kuwa kiakili uweze kupambanua
Ndio maana nasema wewe unayejiona mzima ni mgonjwa kuliko wale wanaotibiwa mirembe.

Wapo watu wanaomjua huyo FAM kuliko mimi na wewe tunavyowafahamu. Hiyo issue ya kuuliwa kwa CDM kabla ya 2020 ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, ni kitu kisichowezekana hata kidogo.

Huwezi kuua chama chenye wabunge wengi na madiwani kirahisi tu. Huyo mtu watu wanamjua kuliko wewe unavyodhani.

Kiburi chake kinaweza kuja kumponza mbeleni. Na nyinyi wenye kudhani kuwa vichwani ni wazima, mkakosa hata uwezo mdogo wa kumsaidia.
 
Kwa.kuwa una mtindio wa ubongo unafikiri kila anayeunga mkono msimamo wa Mbowe ni CDM hujazoea kuwaza na kutengeneza nadharia ambazo unatakiwa kuzipima. Vita ya madawa imeanza baada ya kuunda kwa kamisheni na sio vinginevyo
Pole Mkuu sio kosa lako
Conspiracy theories umezisoma sana kiasi ambacho kil kitu unakiona kama ni kitabu fulani cha hadithi. Hii ni reality wala haina uhusiano na hizo siasa za chini kwa chini unazojaribu kuzipa uhusiano na kutakiwa central kwa bwana mkubwa FAM.
 
Ndio maana nasema wewe unayejiona mzima ni mgonjwa kuliko wale wanaotibiwa mirembe.

Wapo watu wanaomjua huyo FAM kuliko mimi na wewe tunavyowafahamu. Hiyo issue ya kuuliwa kwa CDM kabla ya 2020 ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, ni kitu kisichowezekana hata kidogo.

Huwezi kuua chama chenye wabunge wengi na madiwani kirahisi tu. Huyo mtu watu wanamjua kuliko wewe unavyodhani.

Kiburi chake kinaweza kuja kumponza mbeleni. Na nyinyi wenye kudhani kuwa vichwani ni wazima, mkakosa hata uwezo mdogo wa kumsaidia.
Mtindio wa ubongo kwako ni wazi kabisa. Kichaa na mtindio wa ubongo ni dhana mbili tofauti. Ninyi wenye mtindio wa ubongo uwezo wenu wa kutafakari mambo uko chini mno. Nakuwhauri uwe msomaji zaidi kuliko kuwa mchangiaji
 
Gwajima alianza kupelekeshwa puta tangu hata hajajitambulisha kuwa ni pro-lowassa. Alipomtukana Askofu Pengo, serikali ikaanza kukomaa nae.
 
Wewe ndio unapaswa kuwa mchangiaji, nyinyi kina bendera hufuata upepo huwa hamjitambui hata kidogo.

Ndio wale ambao kiongozi anaanza kuhutubia saa kumi jioni, ikifika saa tano tayari mpo uwanjani mnasubiri kusikiliza hotuba.

Nyinyi ni wapambe wa bei rahisi sana, ndio mnaowapa credibility wanasiasa wenye uwezo mdogo.

Mtindio wa ubongo mnao nyinyi ambao mnamdanganya huyo kaka asiende kuchukuliwa vipimo vya mkojo. Mlimzoea sana JK na upole wake, this time imekula kwenu mazima.
 
Conspiracy theories umezisoma sana kiasi ambacho kil kitu unakiona kama ni kitabu fulani cha hadithi. Hii ni reality wala haina uhusiano na hizo siasa za chini kwa chini unazojaribu kuzipa uhusiano na kutakiwa central kwa bwana mkubwa FAM.
Kama kuvurugwa kwa upinzani kwa kuogopa 2020,waona ni conspiracies sina haja ya kuhangaika na kumaliza charge ya simu yangu kujibu MTU mwenye mtindio wa ubongo. Maamuzi yasiyo ya kikatiba na kuzuia mambo ya siasa kwa kutumia jeshi la Polisi wewe waona sio reality ni conspiracies eeh
Taahira perse
 
Gwajima alianza kupelekeshwa puta tangu hata hajajitambulisha kuwa ni pro-lowassa. Alipomtukana Askofu Pengo, serikali ikaanza kukomaa nae.
At least umeonyesha kuw kumbe kweli serikali inakomaa na Gwajima
Ilianzia mbali kwenye madawa ni muendelezo Tu. Hata Bana mkubwa
 
Wewe ndio unapaswa kuwa mchangiaji, nyinyi kina bendera hufuata upepo huwa hamjitambui hata kidogo.

Ndio wale ambao kiongozi anaanza kuhutubia saa kumi jioni, ikifika saa tano tayari mpo uwanjani mnasubiri kusikiliza hotuba.

Nyinyi ni wapambe wa bei rahisi sana, ndio mnaowapa credibility wanasiasa wenye uwezo mdogo.

Mtindio wa ubongo mnao nyinyi ambao mnamdanganya huyo kaka asiende kuchukuliwa vipimo vya mkojo. Mlimzoea sana JK na upole wake, this time imekula kwenu mazima.
Jadili issues na sio watu taahira wewe
 
Kama kuvurugwa kwa upinzani kwa kuogopa 2020,waona ni conspiracies sina haja ya kuhangaika na kumaliza charge ya simu yangu kujibu MTU mwenye mtindio wa ubongo. Maamuzi yasiyo ya kikatiba na kuzuia mambo ya siasa kwa kutumia jeshi la Polisi wewe waona sio reality ni conspiracies eeh
Taahira perse
Wewe kichaa kabisa. Unataka watu badala ya kufanya kazi na kubuni miradi ya maendeleo wabaki kusimama pembeni ya majukwaa wakisiliza sera, hata wakati ambapo muda wa uchaguzi na kampeni umekwisha?

Unataka nchi iingie kwenye anarchy kwa sababu tu ya kigezo cha uwepo wa demokrasia. JK aliruhusu demokrasia kwa upana wake, mtanzania wa kawaida ilimsaidiaje hali hiyo akaweza kuishi maisha mema zaidi?.

Huko Ulaya ambako bajeti yetu inachukua fedha za uendeshaji wake, wanao muda wa siasa na muda wa kubuni miradi ya maendeleo. Huwezi ukategemea siasa na demokrasia zikuongeze pato la taifa lako kama kweli wewe sio certified mental case.
 
Jadili issues na sio watu taahira wewe
Issues na watu ni vitu vinavyoenda pamoja. Kuliko kujitia mjuzi wa matusi na maneno ya mtaani, mwambie huyo bro akachukuliwe vipimo vya mkojo.

Mzee Mtei anasononeka kwa aibu ya CDM hii aliyoiasisi na kuijenga mpaka ikaheshimika, nyinyi wapiga debe wa bei rahisi wala hamuwezi kuhisi fedheha iliyopo mbele yenu.
 
Back
Top Bottom