Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.

Aliyeitwa ni Phelemon Mbowe au Freeman Mbowe?, ndio maana Freeman Mbowe anaomba aletewe witi wa kuitwa police-summons yenye jina lake halisi
 
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani
Mbowe alinajua hawapo sahihi alisema yeye anajijua zaid kuliko Makonda hata hao Polisi

Unawezaje kuriport kwa kuitwa kuptia Media
 
Angeenda akasikiliza tuhuma hizo na ikionekana hana hatia na yale aliotajwa nayo basi angewataka pls watamke ktk vyombo vya hbr kuwa hahuski na tuhuma zozote, lkn kwa kukaidi inamfanya azidi kufatilia kesi badala ya kujenga chama
 
Hiyo ndo point ya msingi mkuu.
 
Hiyo ndo point ya msingi mkuu.
Mkuu wapinzan wetu hawa kuna mda unakataa kabsa hata kuwaamn kwa lolote lile, na mkulu alisema yoyote anaesimaia serikali anayo mamlaka cha ajb mbowe amekarir hadi polis wamuite atakuja kushtuka bado wiki moja uchaguz 2020 ndipo ataanza kulalama katiba inavunjwa mara sjui nn
 
Wao hawalitambui hilo watakuja kumdaka siku kuna inshu ya muhimu anatakiwa kuifanya badala ya kwenda sasa hivi kulimaliza na hawatamwacha
 
Wao hawalitambui hilo watakuja kumdaka siku kuna inshu ya muhimu anatakiwa kuifanya badala ya kwenda sasa hivi kulimaliza na hawatamwacha
Ebw eeh wewe umeongea point sana. Sikuhizi ukamataji wa polisi umebadilika sana.
Unafanya kosa leo, wanakuangalia tu, sasa utakapofikia muda wa kufanya jambo kako la maana, utaona jinsi wanavyokusamamba kwa makosa ambayo wewe kwa muda huo uliishayasahau. Rejea mazingira ambayo Lema na Lisu walivyotiwa mbaroni kwa tuhuma "mjukuu".
 
Unajua unachoshindwa kuelewa ni kitu kidogo sana NI HIVI [HASHTAG]#mbowe[/HASHTAG] ajakataa kwenda yeye yupo tayari kwenda kwa maelezo yake njia sahihi ya kumwita ndio aijatumika, kama unakumbuka ata gwajima alisema wito wenyewe kaitiwa redion sasa labda nikuulize wewe msomi nchi gani au sheria gani unayo ijua ww au ambayo ushawai kuiona eti polisi kuwaita waharifu kupitia vyombo vya habar NB polisi sio sehem y kutuhum raia ndie anaetuhum
 
Wao hawalitambui hilo watakuja kumdaka siku kuna inshu ya muhimu anatakiwa kuifanya badala ya kwenda sasa hivi kulimaliza na hawatamwacha
Kuna kitu hamkioni. Issue ya kupimwa kwa mkemia ni changamoto kubwa sana ndugu zangu. Maana vipimo havidanganyi, Manji alikuwa na mbwembwe sana situmii wala siuzi but siku alipimwa majibu Yale personality yake ilipungua kwa wengine, kuhusu Mbowe hatujui anatumia au la, huenda anatafuta njia za kidiplomasia ili yaishe, ni changamoto kubwa kwake.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kadanganywa na CDM lakini atakwenda tu. Akikwepa madawa tutafuatilia matumizi ya Ruzuku za Chama!
 
Kamanda Sirro anamsaka Mbowe, simu yake haipatikani na nyumbani hayuko.

Yale Yale ya Zitto Kabwe!!! Kulala selo hakuna anayependa bwana!!
 
Sasa mtu unaitwa redioni utajuaje kama ni wewe unaeitwa! Majina yanafanana. Ndio maana kukawekwa Sheria na taratibu za kufuatwa unapomuita mtu polisi. Mbowe hajafanya kosa lolote hapo hata mimi ningefanya hivyo.
 
Kwani wengine wameitwa kwa miguu? Yusufu kaitwa kwa njia ile ile yy ana nn? Vile vile wengine pia wameenda kwa njia hyo hyo kwan wajinga? Hatumwamin tena hyu
 
Kuna kitu anaficha sio bure! Ukiachana na hayo anaonesha mfano mbaya kwa wafuasi wake kwa kutofuata sheria za nchi! Kujiamulia kutokwenda inamaana hata yeye mfano akiwa Rais atakua anafanya mambo yake kwa utashi na sio kwa kufuata sheria!
 
Back
Top Bottom