Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

Vipo vituo vingi vizuri tu, labda tutofautishe upya na uzuri!
 
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.

Tembelea Mwanza kituo kidogo cha Polisi Nyakato kizuri kuliko hicho...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
hapo inabidi mtafutiwe maaskari bora , siyo wale wenye kaliba kama ya kina Msangi na wenzake ili huduma iwe bora zaidi..........

vp kina full AC?
 
Madhari yake

Mandhari gani Komredi? Mbona naona mavumbi tu hapo kwa mbele?

Halafu hiyo rangi nyeupe wamechemsha kwa sababu punde tu hizo kuta zitakula na vumbi kuanza kuoneakana chafu.

Anyway, mi nakiona ni cha kawaida tu (at least kutokana na muonekano wa nje).
 
huduma zake zinakuaje maana wale jamaa bwana hawatabiriki
 
wanaacha kujenga zahanati, wao wanajenga vituo vya hao wanyang'anyi wanaotumia silaha!!
 
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha polisi tanzania nzima kipo maeneo ya sinza, hongera sana sana kamanda renatus pamba diwani wa kata ya sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.

hapo tabata utakikuta kingine kama hiki. Umetembelea vituo vidogo vyote vya poilisi nchii hii hadi useme hivyo. No research no right to speak mkuu
 
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.


hicho cha mtoto njoo uone cha nyakato mwanza hapa nyamagana
 
hapo tabata utakikuta kingine kama hiki. Umetembelea vituo vidogo vyote vya poilisi nchii hii hadi useme hivyo. No research no right to speak mkuu

Cha Tabata nimekiweka hapo juu ila sio kituo rafiki kwa walemavu
 
Kituo cha mwanza kilijengwa kwa msaada wa astald spa kipo nyakato national kilianza kujengwa mwaka 2000 na kimemalizika 2013 ni kizuri sana ila kungia ni free kutoka sasa waulize wauza ng'ombe wa igoma watakuambia
 
Kama nyumba ya mtu kweli. Baada ya kazi kuna watu wanalala.
 
Rushwa za hapo Sinza na Tabata must be ziwe za maana.
 
Back
Top Bottom