Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

umekuja tabata

Nadhani ajaja tbt hyo...mpaka sasa cjaona kituo kizuri cha police kama kile kipo maeneo ya amani beach kule kigambni daa kile noma kwa kota za polis ni kurasini kilwa road.
 
umekuja tabata

Nadhani ajaja tbt hyo...mpaka sasa cjaona kituo kizuri cha police kama kile kipo maeneo ya amani beach kule kigambni daa kile noma kwa kota za polis ni kurasini kilwa road.
 
.......Ila hivi vituo vya polisi mbona kama nyumba?
Hakuna professional building designer ambaye atadizaini
mjengo uonekane kweli ni kituo cha polisi na sio nyumba.
 
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.

Yan icho ni saresare maua na iki cha apa tabata shule kabisaaa
 
Mkuu, umeshawahi kufika/kuona kituo cha Polisi Tabata shule? Kituo cha Tabata Shule ni kizuri sana, ambacho kilijengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo, kwa ushirikiano mkubwa na mmiliki wa Hotel iliyopo karibu na kituo cha polisi.

Karibu Tabata Police Station.


QUOTE=Fidel80;8634208]
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.[/QUOTE]
 
1558501_545826322192054_911495926_n.jpg


Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.

Ndugu yangu umebugi steps. Hiki kituo ni kizuri ndiyo lakini kituo cha polisi kizuri kupita vyote Tanzania kiko Kateshi mkoa wa Manyara, pale nyumbani kwwao na Mh. Fredrick Sumaye, yaani utakipenda. Nyumba nzuri, mjengo mzuri sana halafu imepakwa rangi nzuri sana boma na paa
 
CCM imetuhaaribu sana! Karne hii kweli tunachangia kujenga kituo cha polisi!! Halafu tumeshaona ni kitu sahihi kabisa!
Nikifa niende mbinguni halafu nikutane na magamba naweza kata rufaa na ikishindikana basi nika chill jehanam!
 
Sijavutiwa na hiyo Architecture...how come ofice ya kuenforce law iwe sawa na residential? walishindwaje kudesign structure inayoressemble na kitu chochote kinachoendana na aina ya kazi za kipolisi?
 
Yap. Kuna A.C pia. Si unajua tena joto la hapa mjini?

Na hivi juzi waligomea tv za chogo wakawekewa LED series Five! !!!!!!!!
Na sasa wanampango wa kuwaunganishia bomba la maji kutoka kiwandani(Azam au Kilimanjaro) kwa ajili ya kuogea mahabusu!!!!!
 
Back
Top Bottom