Hata kota za polisi inabidi ziboreshwe.
SISI WA MUHANGE KAKONKO KIGOMA TUFIKIRIWE...PESA YA KULA BADO NGUMU SEMBUSE YA KUCHANGIA UJENZI...
![]()
![]()
Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.
shida ni kwamba watakao toa huduma watatoa kwa ukatili bila kujali haki za msingi za binadamu![]()
Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.
miaka miwili tu... Utakiona kitakavyokuwa kimechakaa.... Polisi sijui wakoje, we wacheki hata kota zao....