grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Tupia picha wadau wahakiki kama wenzio walivyofanya mkuu.Mikocheni ndo kuna kituo kizuri cha polisi kuliko vyote kuanzia bustani na kuendelea tena vigae vimetawala wala hakuna mabati ni kama nyumba ya muheshimiwa vile