kweli ni kizuri sana aisee, wananchi wakiamua chini ya uhamasishaji wa viongozi wao wanaweza sana tu, cha muhimu kituo hiki kitumike kusimamia na kulinda raia na mali zake kama ilivyoainishwa kisheria.
Mkuu kwani vinatofautiana sana?mbona hata hiki ni kizuri sana!mbona hujawahi kuwapongeza wakazi wa Tabata kwa kujenga kituo kizuri?Nimewahi kukiona mkuu lakini hiki cha Sinza kipo poa
![]()
![]()
Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.
Mkuu umeshawahi kukiona kituo cha Tabata au unasema tu?
![]()
Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.
Inabidi serikali iboreshe vilivyopo, hiki kimejengwa kwa nguvu za wananchi
tunataka uzuri wa utendaji sio majengo
SISI WA MUHANGE KAKONKO KIGOMA TUFIKIRIWE...PESA YA KULA BADO NGUMU SEMBUSE YA KUCHANGIA UJENZI...
![]()
leo mnakifurahia kituo siku polisi wakiwageukia mtaonja joto ya jiwe na mtajuta kukijenga,mimi staki kusikia neno polisi.msaada wowote hawana zaidi ya kuwanyanyasa wananchi
ni sawa kabisa ila sasa ndio watende kwa ufanisiNdugu utendaji bora unaendana na mazingira... ubora wa utendaji ni pamoja na kuwa na ofisi nzuri.