Kituo cha mafuta kinaungua sasa hapa Nansio Ukerewe

Kituo cha mafuta kinaungua sasa hapa Nansio Ukerewe

Maskini nyumbani kwetu, hata hiki kidogo tulicho nacho kinawaka moto! kesho nakuja kuwapa pole. Manning ntakukuta hapo sosho au ua la jangwani tuchome sato

Ukifika tutafutane mkuu, ila asubuhi nitakuwa shamba.
 
kinaungua kwa sababu mmiliki ni mwanachama wa CCM,wacha kiungue chote tena asipate hata jivu,she.nz zenu wote wana ccm.
 
Huku wanasahau vimamoto labda kwa kuwa tumezungukwa na maji

Tena tushukuru mungu isingekuwepo ile gari la maji la mradi wa LVEMP 2 ingekuwa balaa, maana walitusaidia kuuzima huo moto
 
Kituo cha mafuta ya nini?
1.ya kula
2.ya kupaka
3.ya mawese
4.ya ng'ombe
5.diesel
6.petrol
7.taa
8.condom
Be specific next tyme not General!!

Toa ujinga wako hapa unaweka matani kwenye shida we mjinga nini shame on you.
 
Tena tushukuru mungu isingekuwepo ile gari la maji la mradi wa LVEMP 2 ingekuwa balaa, maana walitusaidia kuuzima huo moto

huo ndo ukweli mkuu hata sehemu za jirani ingekuwa baraa hasa social bar.
 
Sijawahi ona zima moto ukerewe sasa sijui umezimwa vipi huo moto
 
Back
Top Bottom