Kituo cha mafuta kinaungua sasa hapa Nansio Ukerewe

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
5,093
Reaction score
11,948
Wapendwa wana Jf wakati tunajiandaa kwa mgao wa umeme baada ya gazeti la Serikali kututonya, hapa Ukerewe Mkoa wa Mwanza, kituo cha mafuta kijulikanacho kama kituo cha CHACHA kilicho karibu na Shosho bar kinateketea vibaya pamoja na magari ya mafuta na yasiyo ya mafuta yaliyoko hapo kituoni. Mpaka sasa hakuna taarifa za mtu kupoteza maisha.
 
Unangojea nini humu jf, nenda kasaidie kuzima moto huko, ebo!
 
Kituo cha Chacha?!
 
Unangojea nini humu jf, nenda kasaidie kuzima moto huko, ebo!

kwa hiyo ulitaka alipo ona asiseme au? mimi mwenyewe nilikuwa apo nikaona kinaungua, nimepata aibu hata ya kuchukua picha, sasa unacho critisize ni nini? fikiria kwanza kabla ya reaction
 
Na we kazime!
 
Nilifikiri cha LAKE OIL nisingesikitika kwani vituo hivi vinahusika na wizi wa EPA na RICHMOND lakini kwa kuwa ni tofauti na hivyo nachukua fulsa hii kutoa pole kwa mhanga wa tukio hili na mungu ampe uvumilivu.
 
Unangojea nini humu jf, nenda kasaidie kuzima moto huko, ebo!

Karibu raia wote wa Nansio wako hapa, kwa jinsi moto unavyowaka tunazima kwa macho. Mkuu nizime kwa mimi zima moto?!!
 
Tupia picha mkuu..
Swali la msingi:-
Mmiliki wa hicho kituo ni mwana Ukawa?

Tetesi zilizopo huyu bwana ni ndugu yake na Werema ( AG) na pia ni mkereketwa mkubwa wa CCM.
 
Wapendwa wana Jf wakati tunajiandaa kwa mgao wa umeme baada ya gazeti la Serikali kututonya, hapa Ukerewe Mkoa wa Mwanza, kituo cha mafuta kijulikanacho kama kituo cha CHACHA kilicho karibu na Shosho bar kinateketea vibaya pamoja na magari ya mafuta na yasiyo ya mafuta yaliyoko hapo kituoni. Mpaka sasa hakuna taarifa za mtu kupoteza maisha.

Kituo cha mafuta ya nini?
1.ya kula
2.ya kupaka
3.ya mawese
4.ya ng'ombe
5.diesel
6.petrol
7.taa
8.condom
Be specific next tyme not General!!
 
Kituo cha mafuta ya nini?
1.ya kula
2.ya kupaka
3.ya mawese
4.ya ng'ombe
5.diesel
6.petrol
7.taa
8.condom
Be specific next tyme not General!!

Kituo cha mafuta ya magari, pikipiki na jenereta, una swali zaidi.
 
Maskini nyumbani kwetu, hata hiki kidogo tulicho nacho kinawaka moto! kesho nakuja kuwapa pole. Manning ntakukuta hapo sosho au ua la jangwani tuchome sato
 
Back
Top Bottom