TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Hii serikali ya ccm imelewa kangara, au gongo ya shinyanga kabisa. hivi kweli tuna serikali inayo function? Angekuwa mwanaume tungesema huyu kumelala, sasa hawa sijui tusemeje. Ni aibu kwa serikali kila siku kushindwa hata kwa mambo madogo. Kwa nini wasikope fedha kwa "Rugemalila au Tbaijuka"?