Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
Nchi ya ajabu sana
Jimbo ni la chama gani......??? Kila kitu ccm acheni mawazo mgando
kabla jogoo hajawika nimkute masaburi na wale wote waliohujumu kituo hicho sero , hii haivumiliki .
Jimbo la ubungo lipo chini ya CHADEMA ila stand ya ubungo si kwa ajili ya jimbo mkuu.
Maamuzi ya kimasaburi saburi hayahusiani ya jimbo la ubungo ama majina yanakuchanganya?
Masaburi ni meya wa DSM si wa jimbo la ubungo. Tofautisha kati ya alama ya kujumlisha kuzidisha na msalaba.
Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
Mawazo yangu tu....kituo kibinafsishwe kwa mwekezaji wa ki Tanzania mwenye taaluma ya usafirishaji.Awe na uwezo wa kukijenga na kukiendesha..Taboa kama wamejipanga wanastahili kupewa nafasi ya kwanza,Scandanavia express,kilimanjaro bus,azam hao wafikiriwe kama Taboa hawatakuwa tayari.
Wajinga kweli kwa nini sasa walibomoa kabla hicho kingine hakijajengwa,ndo zao hawa tumewachoka,waliuza nyumba za serikali,leo watumishi wa umma wanaishi guest houses.
Jimbo ni la chama gani......??? Kila kitu ccm acheni mawazo mgando
Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
tena chali miguu juu !Kwahyo mpango wa kuhamishia stend ya mkoa mbezi mwisho kwisha kazi