TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Hayo tuliyategemea hasa baada kujengwa kwa ofisi mpya za kukatishia tiketi.
Hili ni jambo limelazimishwa baada ya kuona wametumia fedha nyingi kujenga daraja la kifahari pale ubungo stendi ya mkoa, sasa kubakiza kituo pale ni kujaribu kuficha pumba walizofanya za hilo daraja. Wanaogopa wakati wa uchaguzi wangelipuliwa maana ingeonekana daraja la kifahari lakini halitumiki. CCM na serikali yao wamerogwa maana hata wasomi walioko huko wanafanya mambo kama wendawazimu.