Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
Hawa jamaa wanashida kubwa,wameacha fungu hilo ili litumike kuwatawanya wale wajumbe 11 kuzunguka Nchi nzima ili kuwarubuni waNEC watakaompigia kura Mr x
Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
Fedha wanayokusanya ubungo ni nying sana, wanapeleka wapi?Ni katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Meya wa jiji la Dar katoa tamko kuwa kituo cha Mabasi Mikoani na nchi jirani cha Ubungo hakitahama.
Sababu kuu ni ukosefu wa hela. Hela waliyotarajia kuendeleza kituo kipya cha Mbezi zilipelekwa kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART).
Chanzo: ITV
SWALI: Je, jiji kuvunja vibanda na miundo mbinu ya Ubungo huku wakijua hawana fedha za kukihamisha si dhuluma, au ni ulimbukeni na kukurupuka?
Mwone huyu naye, wewe un as ona sawa tu walicjofanya? Kuvunja kiyuo jalaf leo unasema juna hela za kukigamisha,Pumbaf!
Mmawia.....kwa upeo wangu Azam anao uwezo mzuri wa kifedha,isitoshe anao uzoefu katika nyanja ya usafirishaji,anao wataalamu wa kigeni ambao ni wazuri ktk logistics za usafirishaji.Hayo ni mawazo yangu tu na niko tayari kusahihishwa kama nitakuwa nimekosea.Kilimanjaro hali kadhalika yuko serious ktk nyanja hii ya usafirishaji hali kadhalika scandanavia
Only and only in Tanzania
Mawazo yangu tu....kituo kibinafsishwe kwa mwekezaji wa ki Tanzania mwenye taaluma ya usafirishaji.Awe na uwezo wa kukijenga na kukiendesha..Taboa kama wamejipanga wanastahili kupewa nafasi ya kwanza,Scandanavia express,kilimanjaro bus,azam hao wafikiriwe kama Taboa hawatakuwa tayari.
Jimbo ni la chama gani......??? Kila kitu ccm acheni mawazo mgando