Ni wachache sana wenye mawazo km yako!Hivi sisi wanaume tumekuwaje!?? Tunajishushia heshima sana.
Mdau, sio kila kitu kuja kushitaki kwenye mitandao ya kijamii.
Kuna mshenga, pia kama ni ndoa ya kikristo kuna wasimamizi, yaani wale walezi wa kiroho.
"Ukiishi na mwanamke, ishi naye kwa akili sana"
"Tamaa yako itakuwa juu ya mumeo, naye atakutawala... "
Usiku mwema mkuu...
Salaam wadau
Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume
Duu, hizo ndoa jamani sasa ni balaa tupu! Nimecheka sana niliposoma sentensi hiyo ya jitambaa la dera la zamani. Pole mkuu, uamuzi unao mkononi mwenyewe hamna cha ushauri tena hapo.
Hajui anakuja jionyesha aibu yake mwenyewe..Sindiyo hapo sasa akufanyiwi usafi
Sawa inafanyiwa lkn mmmh vumbi libakuwepo. Lbd hao sisimiziHivi nyumba ya tope aifanyiwi usafi eeh
Usiogope wewe muda ukifika jitose mzima mzimaWanandoa nanyie mnamambo daaah hamuishiwi mnatufanya wa wengine mpaka tunaogopa kuoa mkuu
Kabila yetu hairusu mchezo huo mkuuMkuu labda anataka uwe unamla tigo ila kusema anashindwa kesho fanya kama imekosea njia
wala si ndogoKazi kweli kweli
Nimekusoma mkuu lakini naona wanashadadia hao watoto wenyewe kusikia mambo ya kikubwaMkuu kuna watoto humu,Unatukomaza na Hizo ndoa zenu za kufutiana mitambara!
Aah pombe situmiiPunguza pombe!
pole sana.siku zote mapenzi huwa ni kama mzani.ukiona mzani haupo sawa jaribu kujua mapungufu gani yaliyo pungua au kuna uzaifu gani mtu wa pembeni anaye tumia kupunguza mapenzi yenu hiwe rafiki,kupata mchepeko au kikwazo cha kipato,tabia za mabadilikoSalaam wadau
Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki
lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,
jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena
kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu
balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa
Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume
dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke
ushauri please kuna mapenzi tena hapo
ahsanteni
Nashukuru sana kwa ushauripole sana.siku zote mapenzi huwa ni kama mzani.ukiona mzani haupo sawa jaribu kujua mapungufu gani yaliyo pungua au kuna uzaifu gani mtu wa pembeni anaye tumia kupunguza mapenzi yenu hiwe rafiki,kupata mchepeko au kikwazo cha kipato,tabia za mabadiliko
Nitazingatia ushauri wakoPeleka kwao kuna anaempa jeuri ya nn kuishi maadui wawili chumba kimoja asira ikikupsnda utsozea jela apo.
Hao na wa goli moja, sisi wa goli sita kuoga baadae sanahivi kumbe kuna kufutana?me nikajua mkimaliza ni kuoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napenda sanaaaaa pale tunapomaliza na kumfuta sweetbabaa yani huwa nasikia raha kweli vile navomfuta kama mtoto mchanga vile unaangalia vizuuuri vungu zote haha nkimaliza naibusu Malighafi na kumbusu kwenye lips
Smart911 bebii Ailavyuuuuu