MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
watoto vipi?
Ndg zangu, hata kama mnapendana lakini kuweni kama watu wazima bas.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So sweet of you... That's my girl... That's my mahondaw... First few hours upo super shy... But ukishawaka daaah... Ni mtamu balaah...
Watoto ganiwatoto vipi?
Chukua kalamu na karatasi, mpe mwambie aandike kila kitu asichopenda kuhusu wewe, na anavyopenda ujirekebishe..na wew🙂🙂🙂e ufanye hivyo hivyo...kila mtu amwage povu lake kwenye karatasi baadae mbadilishane..usome vyake na yeye asome vyako usivyopenda kuhusu yeye..then hapo utapata pa kuanzia.
Lakini pia... ukimaliza kula🙂 issue nenda bafuni bwana achana na mambo ya kujifuta..unaona sasa pangekuwa na nnge kwenye hilo tambara ungekuwa unaongea nini saa hizi?
unajua haya mambo huwa hayaji bule bule yanasababu tena sababu yenyewe iko kwako ukubali au ukatae jichunguze kwanza wewe kisha ndo njooo kwa mwenzako jikubali kama humlidhishi hilo likubali ndo uweze kutatua tatzo kwa njia ya ukweli ukitaka kujifichaficha hisia zako hutotatua tatzo milele naomba unisikilize tena kwa umakini zaid mtoe out mpeleke mahali tofaut ambapo mtakuwa wawiri peke yenu kisha kuwa muwazi kwanza wewe ukitaka yeye aanze wanawake huwa wasiri mno anaweza akakuficha kwa kuhofia aibu au kumtafsir vbaya kwa hyo kuwa muwazi elezea kwanza namna ambavyo wewe unahisi ni tatzo kwake kama unamchepuko sema ukweli ili muyamalize kama uume wako ni mdogo kiasi cha kufanya yeye halidhiki au ajisikii vzuri sema ukweli na umushilikishe namna ya kutatua tatzo hlo kama ni kuongeza ukubwa basi mjulishe tena kwa haliya furaha sio kwa muonekana wa unyonge kias cha kuhsi yeye mwanamke kama vle hatua hyo yeye haimpendezi jambo lolote ni uwazi na ukwer kama tatzo ni pesa pia sema ukweli hali yako wanaume wengi tumekuwa na hali ya kujisifu sana ulikuwa na maisha ya kawaida wewe unajisifu na kujipandisha ili mwanamke akuone wewe wa dhamani mno hali ambayo akiijua sio kweli halafu anabadilika. wewe unaanza kuomba ushauri na kudai ni mbaya kumbe wewe ndo mchawi sio yeye kwa hyo kuwa mkweli kwake mtayamaliza kama hataki kubadilika au hakuelewi achana nae tafuta mwngine wanawake wapo wengi,lkn anza kwanza hvyo na achana na sijui wakwe washenga na viongozi wa kiroho dili nae wewe mwenyewe hao viongozi na watu wengine wanaweza wasielezwe ukweri kwa sababu matatazo mengi ya kindoa yapo baina ya wawiri na yanabezi ktk tendo la ndoa na kujamiana sasa hao viongozi wanaweza wasijulishwe ukweri kwa kuhofia aibu ya mwanamke kwa hyo komaa wewemwenyewemamaaaaeeee wallah ikute huna ela alafu na mgegedo una kibamia hayo ndo matokeo
Hata mie nimeshangaa[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji87][emoji87][emoji87]hivi kumbe kuna kufutana?me nikajua mkimaliza ni kuoga
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Duh! [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] POLE sana[emoji34] [emoji34] [emoji15]
Nakushauri usimuache mke wako, ila ni vizuri mkae chini na wazee ili kama kuna tofauti zenu mzimalize na maisha yaendelee.
Kuwa makini leo[emoji220] siku nyingine asije akakuwekea [emoji219] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dushe litavimba kama mpira wa gari la zimamoto
Salaam wadau
Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki
lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,
jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena
kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu
balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa
Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume
dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke
ushauri please kuna mapenzi tena hapo
ahsanteni