- Thread starter
- #41
ILE SIRI NI UNYAMA NA WAMESEMA WAMEIBOROSHA ZAIDI NA KUONGEZA LUGHA
Nimeisemesha Siri kiswahili ikachanganyikiwa na kunipa majibu vurugu vurugu. Nikaitukana F U ikajibu did I deserve that
ILE SIRI NI UNYAMA NA WAMESEMA WAMEIBOROSHA ZAIDI NA KUONGEZA LUGHA
kwanin iphone hazina flash ya mbele
ha ha haNimeisemesha Siri kiswahili ikachanganyikiwa na kunipa majibu vurugu vurugu. Nikaitukana F U ikajibu did I deserve that
Iphone 7 inayo
Tecno C5 tu nanga inapaa,
ntaishia kuvisoma tu
Uza blackberry yako mkuuiPhone ni bonge moja ya brand ninazozielewa
Complain.....DNgoja waje wajasiliamali watatukokotolea hiyo iphone 8 ni sawa sawa na heka ngapi za shamba la kitunguu ama tikiti
Kweli mkuu hakihitaji waya kabisaKitu kinakuja September na kuna ubuyu kuwa kitakuwa hakihitaji waya kuchaji.
Kweli mkuu, na mimi pia naipenda hii brand,ningependa kujua "Apple mackbook" ni bei gani duka...?Iphone 8 hadi mwakan mwez wa 9 natumia iphone toka iphone 3g had sasa na nimfatiliaji mvur wa update zao kwa kila device zao.
Apple soko lao aliendeshwi na sana kama soko la bidhaa zingine.
Ndio maana had leo hakuna mackbook iliyotoka touch screen ila bado wauza kwa gharama kubwa na kiwango kikubwa
Kweli tecnolojia iliyopo saivi ni yakuweka simu sehemu tu inajichaji yenyeweWireless charging ndio wanakuja nayo mwakani.hawa jamaa waazingua kinoma yaani.
Kweli tecnolojia iliyopo saivi ni yakuweka simu sehemu tu inajichaji yenyewe
ahahahaUza blackberry yako mkuu
Mkuu hii sio "CONCEPT" tu?Yeee kimekuja kuna watu walibisha IPhone 8 haitoki September. Ni simu ya dola elfu.
Bei Ni gani ?