Ndugu wadau wa jf naomba mwenyekujua bei ya simu hii iphone 8, mpya originala. Kingine naomba mwenyekujua hii simu anijuze nataka kutumia hii simu ikoje katika matumizi yake kati ya hii iphone 8 na iphone 8 + .
Na iphone 7 ipi bora japo mimi nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo kuishika mkononi inashikika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na iphone 7 ipi bora japo mimi nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo kuishika mkononi inashikika.
Sent using Jamii Forums mobile app