Kitu kidogo tu wasema LOL!

Sasa hivi imekuwa taabu kweli... Inakuwa kana kwamba katika kila tufanyalo tunatafutiwa pa kupewa marufuku. Kuna ujumbe nimepta kuwa 'Nokia' stands for 'No God' na kuwa wale wanao peana mkono mwanamke na mwanaume wana pongezana kwa huo ujumbe wa hamna Mungu. Hao woote ni Freemasons.... Nilishindwa la kujibu... Niliishia kujibu 'LOL', Nayo naambiwa haifia... Duh! hahaha Kaaz ipo...
 
Kuna clip nimetumiwa mahubiri ati sheikh anasema wimbo i dont wanna be under.umbrella ellaa ellaa, kuwa ni wa kumkana Mungu. Huyu Mungu tunamsaka hivi siku ya kiama akisema tumeloba stepu patachimbika. Wifi AshaDii nakutumia clip uweke, unajua mchina tena.
 
Last edited by a moderator:


hahaha! Weka bana nione...
 
LAUGH OUT LOUD...., LOL...................!

LOL..., ina maana zaidi ya moja! LOL
 
Chama Cha Majambazi...CCM...ina maana zaidi ya moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…