View attachment 72739Msidanganyike kusema msichokijua!
View attachment 72739Msidanganyike kusema msichokijua!
Kuna clip nimetumiwa mahubiri ati sheikh anasema wimbo i dont wanna be under.umbrella ellaa ellaa, kuwa ni wa kumkana Mungu. Huyu Mungu tunamsaka hivi siku ya kiama akisema tumeloba stepu patachimbika. Wifi AshaDii nakutumia clip uweke, unajua mchina tena.
Asante lol