NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,738
Miezi miwili iliyopita zilisikika sauti za kusema "hatumtaki Chama na Bora aende maana yeye siyo mkubwa kuliko timu".
Baada ya game ya Simba sc na Jwaneng galaxy Fc Chama kuonesha kiwango chake Kama ilivyokawaida kwenye timu ndogo huwaka kweli kweli na kufanya mashabiki waibuke nakuanza kuimba Chama ni Bora kuliko Pacome.
*Msichokijua kuhusu PACOME, ni kwamba huyu mwamba anacheza namba 8,10,11 na 7, huyu mwamba aka Kasi na anapiga miguu yote, huyu mwamba akili yake na utulivu katika lango ni hatari sana
*Huyu mwamba anakiwasha kimataifa na games za ndani, angalia mediama, Belouzdad na al ahly kote huku alikiwasha nje ndani bila kuchagua uwanja misri Ghana Wala kwa Mkapa.
Hii ni tofauti kabisa na chezaji lenye Kasi ya konokono anayesubiri kwa Mkapa tu ndiyo aonekaneakiwashe lakini hata mechi za Pale chamzi huwa anafichwa Kama titi ndani ya Sidiria kiufupi Chama ana mechi zake lakini siyo big talent Pacoume zizu.
Maoni Yangu: ni ngumu sana kumfananisha mchezaji anayekiwasha kimataifa Hadi local games na mchezaji anayesubiri kwa Mkapa tu.