Power Dynamo wasema wanaiogopa zaidi Yanga Tanzania

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga

Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu

NB: Nini maoni Yako kwenye hili
1695975423242.jpg
 
Hata Horoya walisema hawaiogopi Simba, wakala 7-0. Na Yanga nao kwa Simba walikula 5-0 (ushahidi wa video upo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom