cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,695
- 200,158
Kwishaaaaaa.sijuitii lolote sababu najua kila linalotokea lina sababu, halaf mimi ni mtu wa kuchukulia vitu in a way haviniathiri, napenda kumind hamsini zangu, utakavyonichukulia poa tu, so sjutii chochote kile