Wewe ni mwajiriwaKuna kitu ambacho ukikisahau mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako au uchelewe ili ukirudie? Kitu gani ambacho kitakulazimu kukirudia na kuchelewa uendako??
Mi nikisahau simu nyumbani hata kama sipo mbali na naenda kazini sirudi aisee ntakuta simu zilizokosekana na meseji.
- Kadi za atm
- Funguo
- Mkoba[pochi]/Wallet
- Leseni ya udereva
- Mpakato
- Tablet
- Simu
- Hela
- Chaja za simu
- Au chochote