Kitu gani ukikisahau mahali lazima ukirudie?

Mara mbili nilisahau simu nyumbani na nilikuwa nimeshafika mbali hivyo sikuweza kurudi home. Siku hizo mbili niliziona ni ndefu mno na nilikosa raha kwa kweli maana simu yangu ndiyo kila kitu kwenye uwanja wa habari za dunia nzima.

Kuna kitu ambacho ukikisahau mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako au uchelewe ili ukirudie? Kitu gani ambacho kitakulazimu kukirudia na kuchelewa uendako??

  1. Kadi za atm
  2. Funguo
  3. Mkoba[pochi]/Wallet
  4. Leseni ya udereva
  5. Mpakato
  6. Tablet
  7. Simu
  8. Hela
  9. Chaja za simu
  10. Au chochote
Mi nikisahau simu nyumbani hata kama sipo mbali na naenda kazini sirudi aisee ntakuta simu zilizokosekana na meseji.
 
Simu ama funguo za niendako.

Enzi za kuandikiana barua za mapenzi. Si nikaisahau barua ya baby home. Nakuja kukumbuka nshafika shule. Nilifamani kurudi ila haikuwezekana mana kama ningerudi ingebidi niseme naumwa.
 
kumbe umeanza kuchepuka kitamboooo
 
huwezi tembea bila simu kwa dunia hii labda kama una kula kwa baba au mama au ukweni labda wanawake ndio wanakipaji hicho ila sio ss wapambanaji
Usinilazimishe mkuu, mi mwajiriwa so simu sio kitu cha kunirudisha home, as long nina heka ya kwenda na kurudi job naishi tu
 
Kuna kitu ambacho ukikisahau mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako au uchelewe ili ukirudie? Kitu gani ambacho kitakulazimu kukirudia na kuchelewa uendako??

  1. Kadi za atm
  2. Funguo
  3. Mkoba[pochi]/Wallet
  4. Leseni ya udereva
  5. Mpakato
  6. Tablet
  7. Simu
  8. Hela
  9. Chaja za simu
  10. Au chochote
Mi nikisahau simu nyumbani hata kama sipo mbali na naenda kazini sirudi aisee ntakuta simu zilizokosekana na meseji.

Pesa na Maji ya Kunywa
 
Gari. Mimi nikisahau kutumia gari lazima nirudi nikachukue gari ndo niende kazini au nyumbani.

nyumba. nikisahau nyumba ninayokaa lazima nirudi kwanza nikaingie ndani ndo nitoke kwenda kazini.

kwenye ku sex kuna style hiyo nikiisahau lazima nirudi tena kuomba game niitumie.

Kuna kitu ambacho ukikisahau mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako au uchelewe ili ukirudie? Kitu gani ambacho kitakulazimu kukirudia na kuchelewa uendako??

  1. Kadi za atm
  2. Funguo
  3. Mkoba[pochi]/Wallet
  4. Leseni ya udereva
  5. Mpakato
  6. Tablet
  7. Simu
  8. Hela
  9. Chaja za simu
  10. Au chochote
Mi nikisahau simu nyumbani hata kama sipo mbali na naenda kazini sirudi aisee ntakuta simu zilizokosekana na meseji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom