Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

Sea Beast kwa mfano kwenye kununua Twitter, wivu ulimfanya ainunue akijua labda kina Jack wanapata hela sana.Kaingia mkenge,matokeo yake akapunguza wafanyakazi na ikabidi aanze kuuza blue tick.Jamaa siku akishuka utajiri hadi no 10 huko ninahisi atachanganyikiwa.
 
Minaona Kama kanunua ili awe na Power hasa ukizingatia hayupo kwenye Social nyengine ambazo Ni za mbaya wake kaona amiliki kabisa Social ila kwa kuingiza faida social si sehemu sahihi especially Twitter haipo kibiashara kabisa uki compare na META Kids, Social kipato Cha uhakika kwenye Tech Kama Nyumba za kupangisha ila faida ndogo ukilinganisha na Tech Niche nyengine
 
Milo kamili? ita athirije uchumi wangu?
Wewe kama unakula ugali na dagaa mchele ukishushia na maji ya bomba sahau kuwa kama Elon Musk. Ninakushauri anza taratibu kwanza ufike level ya Sholo Mwamba au Mr Blue. Ukivuka hiyo level ndo upambane ufike level ya kina Vunjabei.
 
Kwanini Joel Nanauka asiishi kwenye alichoandika?
 
Kingine kufanikiwa kwenye Tech kubuni solution inayohitajika sio kuwa Fundi wa Code Mange kimambi anaingiza pesa nyingi kwa App ambayo hata UX/UI yake iko hovyo ila Traffic yakushato na Mange wala sio Developer.
Aise
Haya, ngoja tuone
 
Karibia wote walio success kwenye Tech industry wali code product zao wenyewe hata iyo FB ali code mwenyewe.

Watu wengi hua wanadhani programming ni rahisi
Jack Mma haja code.Ni engilsh teacher na ana leadership skills za kutosha.
 
Hakuna cha kukuzuwia isipokuwa fikra zako tu. Go for it.
 
Elon musk hatashuka utajiri kulingana na wachambuzi mbalimbali. Yule hauzi
Maembe yanayoooza.
Elon atabaki mjini na kuwa trilionea kwa zile technolojia anazowekeza. Akifanikisha safari za mass au deep space haji kufilisika ng'o.
Ili umtoe musk uje na technolojia mpya.
Mwamba amejiweka ktk kila aina ya technolojia unauoijua wewe.
Kuanzia usafiri ardhini, anga, mawasiliano, elimu, Robots,software, media nk.
Mfumo wake wa elimu anaoubuni ukifanikiwa ndio itakuwa future of education system in the world.
Mfuatilieni kwa undani huyu jamaa ni tofauti na matajiri unaowajua kama Bill gate au Zuckerberg.
Anajiita general scientist, hii ina maana anajua kila kitu na anafanya vingi wakati akina Bill wao ni specialized scientist.
Atafilisika kaburini sio duniani.
 
Hakuna cha kukuzuwia isipokuwa fikra zako tu. Go for it.
Ana akili kama ya Musk ? Magnetic memory au photographic memory?
Anaweza kusoma kitabu tu na kutafsiri yale aliyosoma kwa vitendo.
Mfano asome kitabu cha jinsi ya kuunda injini ta gari la umeme au software halafu aanzishe hizo project bila kusoma vyuoni au kupata uzoefu kiwandani.
Kama ana hio bahati basi atakuwa Musk maana hio ni Gifted brain!
Naona mnamoa moyo, ni vizuri kuliko kumjayisha tamaa.
 
Deep sea ,Mars huko ni ndoto.Hawezi fanikisha.
 
Kuna interview Alisema kainunua Twitter ili awaokoe vijana kutokana na addiction ya kutumia mitandao kwa mda mrefu ndio maana ameweka limit ya twit mtu anazoweza kuziona kwa siku na kuuza blue tick na kitu cha kwanza anachotajia kufanya akija kununua Twitter au snapchat ataondoa filter kwenye mitandao hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…