Kitu gani kinakukera unapompigia mtu simu

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
kuna aka katabia ka kumpigia mtu simu badala ya kukusikiliza kujua kwa nini umempigia simu anaanza kukuuliza hivi 'nani amekupa namba yangu'. Nashut down
 
sasa mkuu hiyo nashut down ndio nini?au unaiga ile nalog off?wabongo bana!
 
Ni pale yeye anapoanza kukuelezea shida yake kabla wewe (mpigaji) kuelezea shida yako ...................

kuna aka katabia ka kumpigia mtu simu badala ya kukusikiliza kujua kwa nini umempigia simu anaanza kukuuliza hivi 'nani amekupa namba yangu'. Nashut down
 
sasa mkuu hiyo nashut down ndio nini?au unaiga ile nalog off?wabongo bana!
mi ngoja nikazime main switch kabisa ili asiweze kuwasha tena PC yake..

:focus:
inategemea na mazingira ya kuwasiliana na huyo mtu yamekaaje..inawezekana aliwahi kugombana na wewe na akaamua kubadili namba yake na kuwapa watu wachache tu anaowaamini ili asiwasiliane na wewe so akiona umempigia lazima aulize..(hata ningekuwa mimi ntakuuliza - ingawa sina tabia hiyo ya kubadilidha namba sababu ya mtu fulani)
 
kuna aka katabia ka kumpigia mtu simu badala ya kukusikiliza kujua kwa nini umempigia simu anaanza kukuuliza hivi 'nani amekupa namba yangu'. Nashut down

Nakerwa na tabia ya kumpigia mtu simu baada ya maongezi, aliyepigiwa simu anatangulia kukata simu!
 
Mi nakerwa na tabia ya mtu kubeep then ukimpigia anauliza nani mwenzangu. Nakereka sana.
 
Sipigii mtu simu, napigiwa mie

kwanza kabisa eti unasikia wimbo wa marraw, gghhhhhhhhhhhhrrrr sipendi sipendi sipendi tigo ondoa hilo linyimbo bwana!!!!!pili mtu anakubeep unampigia anakuuliza kwani hunijui???ghrrrrrrrrrrr!
 
Nimewasha tena ila Nashut down
Mimi nakerwa na tabia kama za kwako_za kuleta thread halafu unaleta utani mwenyewe,....i.e mtu unampigia/anakupigia halafu analeta utani usio na msingi,...hope umenisoma mkuu
 
Sipendi kumpigia mtu simu then kabla sijamaliza mambo yote anakata simu.
 
Kuna ile ushaongea issue na mtu ukamaliza, unampigia ana-assume anajua unachotaka kumuambia afu anakata simu!
Au mtu anapiga simu,wese lake la kidumu afu anaanza salaamu kama za kinyakyusa 'za siku, wazima, hawajambo wote,mnaendeleaje'!!! Hukawii kujibu 'same as above' kha!
 
kuna aka katabia ka kumpigia mtu simu badala ya kukusikiliza kujua kwa nini umempigia simu anaanza kukuuliza hivi 'nani amekupa namba yangu'. Nashut down

Kwakweli kama mtu hana mazoea ya kuwasiliana na wewe lazima aulize umepata wapi namba yake...
 
Back
Top Bottom