Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,252
- 5,885
Sawa nilifikiri umemaanisha Dudu na PesaHapana
Sawa nilifikiri umemaanisha Dudu na PesaHapana
kudos..Yes man 😁
Duuh, ulitoka mpaka damu mkuu 😆 ?Siku Mbowe aliposema anagombea tena uenyekiti Chadema, hivyo viupele kama vya kuku aliyenyonyolewa vilinitoka vingi sana na vikawa vinapasuka na kutoa damu.
Pole dadaNilipita chini ya mkorosho saa saba usiku
Kama kawaida yako 🙌
Unadhani kwanini no 21.Kila nikipita kwenye korido la bwenini kipindi nasoma ilikuwa lazima nisisimke na mwili kuingia ubaridi nywele zinasimama.
2. Kuna babu nilipishana nae darajani nikapatwa na hali kama hiyo mapigo ya moyo yalienda mbio sana.
Mpaka leo sijajua kwanini, tulivyopishana nikageuka kumwangalia tukagongana macho nikapata hisia ya woga mnoUnadhani kwanini no 2
Mambo gani?daaaah kweli mambo ni mengi sana
Soulmate wako huyoMpaka leo sijajua kwanini, tulivyopishana nikageuka kumwangalia tukagongana macho nikapata hisia ya woga mno
Mkuu sogea nikun'gate sikio basi.Ni lini mara ya mwisho hali hii ilikutokea na nini kilisababisha?
View attachment 3446409
Kwangu:
- Mtu aliniongelea karibu sana sikioni.
- Nilisikiliza cover ya wimbo wa "Baby can I hold you" wa Tracy Chapman.
- Orgasm
![]()
Soulmate wangu mzee kabisa mkuu yaani yule gap la miaka haraka haraka itakuwa 40+. Yaani mimi nipo kwenye 30's yeye atakuwa kwenye 70'sSoulmate wako huyo
Ahaa kwan soulmate hawez kuwa babu?' Havina umri hivi vituSoulmate wangu mzee kabisa mkuu yaani yule gap la miaka haraka haraka itakuwa 40+. Yaani mimi nipo kwenye 30's yeye atakuwa kwenye 70's