Kitu gani kilikufanya usisimke namna hii?

Kitu gani kilikufanya usisimke namna hii?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,963
Reaction score
36,419
Ni lini mara ya mwisho hali hii ilikutokea na nini kilisababisha?

IMG_2487.jpg


Kwangu:
  • Mtu aliniongelea karibu sana sikioni.
  • Nilisikiliza cover ya wimbo wa "Baby can I hold you" wa Tracy Chapman.
  • Orgasm :uwotWater:
 
1.Kila nikipita kwenye korido la bwenini kipindi nasoma ilikuwa lazima nisisimke na mwili kuingia ubaridi nywele zinasimama.

2. Kuna babu nilipishana nae darajani nikapatwa na hali kama hiyo mapigo ya moyo yalienda mbio sana.
 
Back
Top Bottom