Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,809
- Thread starter
- #61
π€£π€£Aisee unajua kusepa na kijiji hizi threads zako zinapunguza mikazo kwa kiasi fulani πππ
Huko duniani tayari tunadeal na mambo magumu magumu, na huku mitandaoni tusirelax, tuendelee tu kukaza vichwa?
Hapana kwa kweli!