Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Uamuzi huo ni dalili ya ukomavu wa kiakili na kifikra. Ila akija kukuomba msamaha akimaanisha, msamehe. Huyo anaonekana ndiye mkeo.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkuu haikupita mwaka alinitafuta na kuniomba sn nirudiane nae.
Akaenda mbali zaidi akasema jamaa wa chuo alimdanganya na hakuwa na mapenzi ya kweli na yeye.

Nilimwaga Mazima nikakata na network zote kwake..

Kuna siku niliona picha zake kwenye mitandao ya kijamii..

Nilijiuliza sn niliwezaje kumpa vitu vyote vile.
Yaani ni mwanamke wa kawaida Sana.

Kweli mapenzi yakiisha ndy utaona uzuri halisi wa mpnz wako..
 
Kikubwa umejifunza kaka.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
nilianza na i phone 6 tano, i phone x ,i phone 11pro mbili na 13pro plus mitaji ya 20m na pesa za kila mara 30k,50k,100k plus outing hao ni mademu tofauti na bado naendelea na huu ujinga sijui nitaacha lin vijana wengi hayo ndo maisha yetu sema ni ngumu kumwambia mtu ila tuna umia sana linapokuja suala la mapenzi.kazi iendelee
Sometimes muwe mnaficha upumbavu wenu.
 
nilianza na i phone 6 tano, i phone x ,i phone 11pro mbili na 13pro plus mitaji ya 20m na pesa za kila mara 30k,50k,100k plus outing hao ni mademu tofauti na bado naendelea na huu ujinga sijui nitaacha lin vijana wengi hayo ndo maisha yetu sema ni ngumu kumwambia mtu ila tuna umia sana linapokuja suala la mapenzi.kazi iendelee

Na wala usiache mpka utakapo mpata mke wako broo
 
Mkuu haikupita mwaka alinitafuta na kuniomba sn nirudiane nae.
Akaenda mbali zaidi akasema jamaa wa chuo alimdanganya na hakuwa na mapenzi ya kweli na yeye.

Nilimwaga Mazima nikakata na network zote kwake..

Kuna siku niliona picha zake kwenye mitandao ya kijamii..

Nilijiuliza sn niliwezaje kumpa vitu vyote vile.
Yaani ni mwanamke wa kawaida Sana.

Kweli mapenzi yakiisha ndy utaona uzuri halisi wa mpnz wako..
Nlimtongozaga demu mmoja aka tolea nje, baadae mshikaji akaniambia bora kakutema kwanza ana pia kubwa. Kweli kesho yake kumwona kweli ana oua kubwa
 
Hizo ndizo kauli za kijinga ambazo zinawafanya mtaendelea kupigwa na kuja kulalama mitandaoni..

Wewe sio wa kwanza kusema hivyo,as for now am 35 old eti bado sijakutana na mapenzi ..

Kama miaka ya ujana yenye mihemko ndio hiyo inayoyoma nitakutana lini na hayo mapenzi ikiwa Niko kwenye majukumu na mda wa mihemko unazidi kuyoyoma.

Niliwahi kutana nayo once and from there nilishajua how to deal with,simple sana is just a matter of psychology strength ila kama huwezi kubalance matumizi ya akili na hisia umekwisha na itaendelea kupigwa hivyo hivyo hususani kama furaha yako inakamilishwa au kutegemea uwepo wa mtu mwingine.
" Never despise or laugh a man in matters which all people are prone, it is a matter of time and you become the victim you mocked" Vikings.
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Friji

nikabaki bila friji
 
Nshahongwa sana asee
Mmoja I pad Air wakat imetoka tu Europe kwa mara ya kwanza... Norwegian kroner 7900 (badilisheni wenyewe mjue kwa tsh ilikuwa how much.) Utoto mwingi sikumpenda kibonge yule. So alipouliza anipe nini nkamtajia ipad.. akaonja tu nkampotezea...
Mwingine vitu vya ndani vyote...kitanda, TV, fridge, fan, sofa set, coffee table etc etc bado matumizi ya kila siku na vitu vingine vikubwa. Niliona simpendi nkamuacha tu..
Siku hizi sihongwi tena nna chenji zangu za tuvitu tudogo dogo ...labda nihongwe nyumba au gari sasa...
 
Uzi ulikuwa mzuri ila mkaanza kupiga stori na kujichekesha chekesha mkauharibu kabisa.

Hebu toeni shuhuda humu
 
Nshahongwa sana asee
Mmoja I pad Air wakat imetoka tu Europe kwa mara ya kwanza... Norwegian kroner 7900 (badilisheni wenyewe mjue kwa tsh ilikuwa how much.) Utoto mwingi sikumpenda kibonge yule. So alipouliza anipe nini nkamtajia ipad.. akaonja tu nkampotezea...
Mwingine vitu vya ndani vyote...kitanda, TV, fridge, fan, sofa set, coffee table etc etc bado matumizi ya kila siku na vitu vingine vikubwa. Niliona simpendi nkamuacha tu..
Siku hizi sihongwi tena nna chenji zangu za tuvitu tudogo dogo ...labda nihongwe nyumba au gari sasa...
Ulikuwa Malaya.
 
Taperi
 
Back
Top Bottom