Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kuna mambo mawili wanayo fanya.

1. Wanatengeneza ndege ambayo haionekani kwenyw radar yako

2. Wanaingilia system ya radar yako ili wakati wao wanapita na ndege zao wewe kwenye rada yako wanakuwekea movie ya kanumba uendelee kuenjoy
israel haitengezi ndege mkuu,hawana technology,wanazidia mpaka na uturuki wanaotengeza F-16.
 
yaan kama kwe ile vita na waarabu hakukuwa na stealth aircraft ila walihack air defense za misri kisha wakashusha chapo zuri tu kabla ya wenye dunia yao kuja kusuluhisha mambovita ikome
mkuu pale misri hapakuwa na hacking yoyote. waziri mkuu alipoona ile video ya propaganda alpt mshtuko akaingia kwenye koma.
pale ilikuwa ni kazi nzito ya spy netwk na waarabu kusalitiana. soma story ya mossad mwarabu alieyeenda argentina akaingia syria kama business man na mtu wa krb na watawala. spying ndio iliwaweka mjini.
 
Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,

Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.

Usirihusu dini ikufanye ushindwe kufikiria.
 
mkuu pale misri hapakuwa na hacking yoyote. waziri mkuu alipoona ile video ya propaganda alpt mshtuko akaingia kwenye koma.
pale ilikuwa ni kazi nzito ya spy netwk na waarabu kusalitiana. soma story ya mossad mwarabu alieyeenda argentina akaingia syria kama business man na mtu wa krb na watawala. spying ndio iliwaweka mjini.
sawa mkuu sema nlisoma kwe jerusalem post one time kuna agen mmoja wa mossad alikua akielezea
 
Ivi yule mwanajeshi wa marekani aliyeiyona B-2 kwenye rada bado yupo kazini au halifukuzwa ?
Tupe source maaana hyo B2 unayoisema ishapgana Serbia na iliangusha 40% ya mabom yaliyotumika kwny vita na haikuwah angushwa....half kuna tofaut kubwa sana kat ya F117 na B2 coz B2 ni computerized bomber wkt f117 ni tofaut coz ilitengenezwa mda kidogo km majarbio ya stealth technology
 
1466741555892.jpg
 
Wapi Mkuu? Unamaanisha kuchakachua jet fighters na air defense systems? Ha ha ha! Bado sana; hata kuchanganya tu juice na maji hatujui sembuse hi-tech.
In magufuli i trust..... tutafika tu huko
 
Acha uongo, hata kama huipendi israel kama hujui vitu nyamaza kuliko kuleta ugoro hapa, F-16 ni ndege inayo tengenezwa marekani, niambie kitu gani mturuki ametengeneza , labda sindano ya kushonea nguo
inaonekana mkuu wewe haya mambo wewe ni mgeni,kama unataka utapewa ushahidi
 
Back
Top Bottom