Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,562
- 860,715
Unapoyatafakari mapenzi kwa kina unaweza kujikuta unacheka tu mwenyewe, unajua kila mwanaume ana jinsi yake ya kutongoza, jinsi nyingine ni vichekesho tupu!
Zamani kule vijijini kuna watu walikuwa wanatumia nguvu zao kama kitongozeo, wao ni magangwe ni wababe wanaogopeka lakini kuna wazee wao ni wachawi au wanamiliki mifugo nk
Siku huku mjini kuna mabitozi wanatumia magari, utanashati,mdomo, sikonyo nk kama kitongozeo lakini kali kuliko zote ni huyu jamaa anayetumia ushanga kama kitongozeo, yani yeye anavaa ushanga mmoja leo akiwa na mwanamke huyu akibadili mwanamke anavua ushanga kwahiyo wanawake wanabaki kwenye dillema, huyu anasema jamaa anavaa ushanga yule anasema si kweli kwahiyo wengine watataka kuhakikisha basi jamaa anakuwa ndio mchezo wake