Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 6,000
Ene saizi niga!Which size niga???
Ene saizi niga!Which size niga???
Ninachokumbuka enzi hizo hakuna simu sasa unapita nyumbani kwa demu wako na kurusha jiwe linapiga bati ndo ishara hiyo basi siku moja nimepiga bati nikaenda mbele kuna mti kusubiri baada ya dakika 5 akatokea baba yake duh pozi likaisha ila kilichoniuma mzee akanambia baba uwe unakuja ndani moja kwa moja hiyo style yako utanitobolea bati zangu au utaniua kwa mshtuko.Hahahaaaa ICHANA si mimi asilani
HahhaahaaaaNina
Ninachokumbuka enzi hizo hakuna simu sasa unapita nyumbani kwa demu wako na kurusha jiwe linapiga bati ndo ishara hiyo basi siku moja nimepiga bati nikaenda mbele kuna mti kusubiri baada ya dakika 5 akatokea baba yake duh pozi likaisha ila kilichoniuma mzee akanambia baba uwe unakuja ndani moja kwa moja hiyo style yako utanitobolea bati zangu au utaniua kwa mshtuko.
Usicheke mshana tumetoka mbali hawa dotcom hawajakutana na visanga hivyo yaani vidate kama hakimu na mtuhumiwa mpaka uje uone ndani si mchezo na kila kibwagizo chetu dada salama au macho yangu?unajibiwa salama kisha unaendelea tutakula au fitna?ndege itatua au uwanja una maji?ukijibiwa itatua hapo mambo bambam.Hahhaahaaaa
Yeah ilikuwa tamu sana ndege itatua au uwanja una maji?Usicheke mshana tumetoka mbali hawa dotcom hawajakutana na visanga hivyo yaani vidate kama hakimu na mtuhumiwa mpaka uje uone ndani si mchezo na kila kibwagizo chetu dada salama au macho yangu?unajibiwa salama kisha unaendelea tutakula au fitna?ndege itatua au uwanja una maji?ukijibiwa itatua hapo mambo bambam.
Yaah style kama chagua bega sangi,mande na mtungo aah havikuwa vitu vya kujivunia kwa sasa ila ndio mambo ya enzi hizo huwezi kuondoka na demu mkali disco au mtaani kama sio gangwe au una washkaji wababe.Yeah ilikuwa tamu sana ndege itatua au uwanja una maji?
Unapoyatafakari mapenzi kwa kina unaweza kujikuta unacheka tu mwenyewe, unajua kila mwanaume ana jinsi yake ya kutongoza, jinsi nyingine ni vichekesho tupu!
Zamani kule vijijini kuna watu walikuwa wanatumia nguvu zao kama kitongozeo, wao ni magangwe ni wababe wanaogopeka lakini kuna wazee wao ni wachawi au wanamiliki mifugo nk
Siku huku mjini kuna mabitozi wanatumia magari, utanashati,mdomo, sikonyo nk kama kitongozeo lakini kali kuliko zote ni huyu jamaa anayetumia ushanga kama kitongozeo, yani yeye anavaa ushanga mmoja leo akiwa na mwanamke huyu akibadili mwanamke anavua ushanga kwahiyo wanawake wanabaki kwenye dillema, huyu anasema jamaa anavaa ushanga yule anasema si kweli kwahiyo wengine watataka kuhakikisha basi jamaa anakuwa ndio mchezo wake
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe Mzee wa vinyama vya makalioni unaingia kwa gia hiyo! Mrembo hakawii kuomba umchungulie makalio yake kama ana kinyama na kama anacho basi upamtie "tiba" husika. Hahahahahahahaha lol!