Kitongozeo

Kitongozeo

Umeibua thread ya karibu miaka miwili iliopita!!!!
Ni kweli kabisa nilipita mahali nikakuta uzi wa kutongoza asubuhi kama ni nuksi ndio nikaikumbuka hii ya kitongozeo nikaisakanya mpaka nikaipata
 
Kuna jamaa alikuwa anapaka dushe wino wa blue, so msichana akikuta dushe ya blue anawaambia wenzake na wao wanakuja kuhakiki. Jamaa akawa anawagonga kilaini tu
 
Ngoja nijaribu hudhurungi au chanikiwiti
 
Unapoyatafakari mapenzi kwa kina unaweza kujikuta unacheka tu mwenyewe, unajua kila mwanaume ana jinsi yake ya kutongoza, jinsi nyingine ni vichekesho tupu!

Zamani kule vijijini kuna watu walikuwa wanatumia nguvu zao kama kitongozeo, wao ni magangwe ni wababe wanaogopeka lakini kuna wazee wao ni wachawi au wanamiliki mifugo nk

Siku huku mjini kuna mabitozi wanatumia magari, utanashati,mdomo, sikonyo nk kama kitongozeo lakini kali kuliko zote ni huyu jamaa anayetumia ushanga kama kitongozeo, yani yeye anavaa ushanga mmoja leo akiwa na mwanamke huyu akibadili mwanamke anavua ushanga kwahiyo wanawake wanabaki kwenye dillema, huyu anasema jamaa anavaa ushanga yule anasema si kweli kwahiyo wengine watataka kuhakikisha basi jamaa anakuwa ndio mchezo wake
Hahaah, umesahau na wale wanaoacha vifua wazi, kama wale Dada zetu wanaoacha nyonyo zao nje
 
Unapoyatafakari mapenzi kwa kina unaweza kujikuta unacheka tu mwenyewe, unajua kila mwanaume ana jinsi yake ya kutongoza, jinsi nyingine ni vichekesho tupu!

Zamani kule vijijini kuna watu walikuwa wanatumia nguvu zao kama kitongozeo, wao ni magangwe ni wababe wanaogopeka lakini kuna wazee wao ni wachawi au wanamiliki mifugo nk

Siku huku mjini kuna mabitozi wanatumia magari, utanashati,mdomo, sikonyo nk kama kitongozeo lakini kali kuliko zote ni huyu jamaa anayetumia ushanga kama kitongozeo, yani yeye anavaa ushanga mmoja leo akiwa na mwanamke huyu akibadili mwanamke anavua ushanga kwahiyo wanawake wanabaki kwenye dillema, huyu anasema jamaa anavaa ushanga yule anasema si kweli kwahiyo wengine watataka kuhakikisha basi jamaa anakuwa ndio mchezo wake
mmmh kama ni yeye weka mbali kwa wasichana...
Big up
 
sasa hapo sijaona kama katongoza jamani.. au mimi ndio sijaelewa mleta mada???

process iliyoelezewa hapa haisemi kama katongoza, tumeelezewa 'output' yani keshagegeda tayari, baada ya hapo habari zikasambaa kwamba ana ushanga..!

sasa swali, ametongozaje?... 'input'. (mbinu alizotumia ni zipi mpaka ushanga wake ukaonekana)
yaani alitumia nguvu kubwa kumpata mmoja akiwa amevaa shanga.yule mmoja akasimulia wadadisi wkajitosa kuhakiki akajikuta amepiga,kwa kupitia kusimuliana jamaa akajikuta amechojoa kyupi nyingi nyingi.hivo yani
 
Sasa huo ushangaa unaovaa si mpaka upate mwanamke mcharuko wa kukutangaza. La sivyo unaachwa kimya kimya na kipapai juu...
 
Back
Top Bottom