Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

Nadhani Jasusi amekujibu vizuri. Kwa kuongezea tu haiwezekani Mtanzania aliyeishi nje kwa muda mrefu ambaye ameshakuwa ni mchapa kazi hodari akirudi aanza tena kuzembea eti kwa kuwa yuko Bongo. Tatizo ni kama hilo alilokwambia Jasusi na wakati mwingine Bongo unatakiwa kuwa na kigod father ambacho kitajidai kinakkupigia debe kwa 'wakubwa' ili upate promotion.

Uzuri wa nje juhudi za kazi zako zinaonekana na wakubwa wala huhitaji kuwa na kigod father mambo yanajipa yenyewe na unaona unapanda tu kutokana na vyei vyako na utendaji mzuri wa kazi zako. Bongo hili hakuna bila kuwa na God Father utachapa kazi mtindo mmoja lakini juhudi zako kamwe hazitakuletea mafanikio ya kupanda cheo.

BAK BAK:

Ndio Jasusi ameeleza vizuri lakini u-kienyeji haupo kwenye kufanya kazi pekee yake. Hupo kwenye ubadhirifu wa mali za umma pia.

Chukua mfano wa Balali. Alikuwa anafanya kazi, lakini hakusahau kujiandikia cheki. Lakini sidhani kuwa angekuwa kwenye nchi ya watu, angefikiria kuvuta kisicho chake.
 
Wakuu,
Hapa kidogo nadhani nitakubaliana na FMES...
Point zake za awali kidogo nilikuwa nje isipokuwa nimefikiria kitu kimoja tu ambacho kinaleta maana zaidi ni kuhusiana na mtoa hoja mwenyewe!.
Hivi huyu Kitine kama angekuwa JELA na akazungumza maneno haya tungeendelea bado KUAMINI maneno yake kwa uzito tuliouchukua sasa hivi?..
Sasa nini tofauti ya huyu mtu kuwa jela na ifisadi alioufanya kwani kosa ni kutuibia hizo millioni 40, guys tunazungumzia 4 million US dollar hapa! na mtu yuko nje ati kastaafishwa..
Ushauri wangu kwake ni kuwa:-Nchi ilianza kuongozwa kienyeji toka siku aloweza kuiba fedha hizo (iwe hata mkewe) na hakuchukuliwa hatua yoyote zaidi ya kujiuzuru.. Hata mimi ningestaafu kwa robo ya fedha hizo, nisingesubiri kikawaka moto!..
Ukweli ni kwamba, kichwa cha mada hii kinapotosha zaidi kwani Nchi kuongozwa kienyeji haikuanza jana..

Mkandara:

Na hiyo ndio point kubwa. Ukiangalia kwenye makala ya pili aliyoleta BAK, inasema John Nyoka aliondoka miaka zaidi ya 13 iliyopita. Huyo aliyeanzisha chuo Rwanda aliondoka zaidi ya miaka nane iliyopita.

Na zaidi ya hapo hayo watu walishapoteza muda kwa kufanya kazi kienyeji bongo kwa zaidi ya miaka 20.
 
Kusema nchi imeendeshwa kienyeji tokea enzi za Nyerere ni sawa na kufananisha KICHEFUCHEFU na KIPINDUPINDU. Tanzania ni mahututi hivi sasa.
  1. Ni lini nchi yetu ilikuwa na mawaziri n.k, mamilionea (in $$$ terms) na wanaozitawanya waziwazi bila rais kuwachunguza au kuwachukuliwa hatua?
  2. Ni lini tulikuwa na wabunge, wakurugenzi wa mashirika n.k. waliotuhumiwa wazi kuibia taifa mamilioni bila kuchukuliwa hatua?
  3. Ni lini nchi iliwahi kukumbatia matapeli kama RICHMOND & DOWANS waziwazi licha ya uhalifu walioifanyia nchi?
  4. Ni lini nchi yetu imekuwa na raisi aliye OMBA-OMBA kila kukicha badala ya kupanga mipango binafsi ya maendeleo?
Ukweli ni kuwa haijawahi tokea nchi kuendeshwa kirushwa-rushwa na kizembe bila mwelekeo kwa kiasi hiki, hata mzee Rukhsa alikuwa na nafuu. Tuombe akina Kitine's waongezeke na sasa waanze kumtaka raisi Kikwete ajiuzulu.

Unabidi umeze emotions tu. Kitine ameboronga wakati Nyerere akiwa madarakani na alichopewa kuhamishwa.

Kama huyu jamaa angepelekwa jela miaka hile basi uwenyeji ungekuwa umetoka.
 
Zakumi,
Kitine hakufanya kosa la kupelekwa jela enzi za Mwalimu. Fedha alizompelekea mkewe Canada zilikuwa enzi ya Mkapa. Makosa yaliyofanya yeye, Mahiga na Lugoe waondolewe
kwenye uongozi wa UWT yalikuwa ya kiutendaji ( au labda personality clashes, I am not sure)
 
Unabidi umeze emotions tu. Kitine ameboronga wakati Nyerere akiwa madarakani na alichopewa kuhamishwa.

Kama huyu jamaa angepelekwa jela miaka hile basi uwenyeji ungekuwa umetoka.

Zakumi,
Angepelekwa jela kwa kosa lipi? So far tulizonazo ni allegations za misconduct ya mkewe, sasa hebu linganisha na ushahidi uliopo wa mamilioni ya Chenge au Richmond ya Lowassa.

Nchi inaangamia na itazidi kwenda kombo kama JK ataruhusiwa kuendelea.
 
I don't know much about Kitine. Lakini kuna watu walishanunua mindege mibovu. Kivuko kibaya, kuuza meli na kilichofanyika ni kuhamishwa tu katika kipindi cha Mwalimu.

Sipo hapa kumtetea JK. Lakini Chenge ni wa siku nyingi. Lowassa vilevile. Kama waswahili wanavyosema mkunje kambale akiwa bado mbichi.

Kipindi hiki kambale wote ni wakavu.
 
Zakumi,
Kitine hakufanya kosa la kupelekwa jela enzi za Mwalimu. Fedha alizompelekea mkewe Canada zilikuwa enzi ya Mkapa. Makosa yaliyofanya yeye, Mahiga na Lugoe waondolewe
kwenye uongozi wa UWT yalikuwa ya kiutendaji ( au labda personality clashes, I am not sure)

Jasusi:

Nadhani Makaayamawe itabidi aisome hii. Anasema makosa ya Kitine ilikuwa ni misconduct ya mkewe tu.

Ukweli unabakia palepale. Nenda uswahilini kaibe kuku, na itakuwa bahati kama kesho utaiona.

Kuachiwa kwake hili apete ni kwenda kienyeji. Bila ya nchi kwenda kienyeji angekuwa anapiga kwata jela.
 
BAK BAK:

Ndio Jasusi ameeleza vizuri lakini u-kienyeji haupo kwenye kufanya kazi pekee yake. Hupo kwenye ubadhirifu wa mali za umma pia.

Chukua mfano wa Balali. Alikuwa anafanya kazi, lakini hakusahau kujiandikia cheki. Lakini sidhani kuwa angekuwa kwenye nchi ya watu, angefikiria kuvuta kisicho chake.

Hayo nayajua si ndiyo maana tunapigia kelele ufisadi uliokithiri na wahusika pamoja na kujulikana hawafanywi chochote.
 
Unabidi umeze emotions tu. Kitine ameboronga wakati Nyerere akiwa madarakani na alichopewa kuhamishwa.

Kama huyu jamaa angepelekwa jela miaka hile basi uwenyeji ungekuwa umetoka.

Huwezi ukafananisha matatizo yaliyokea wakati wa Nyerere na awamu ya pili, ya tatu na ya nne kuna tofauti kubwa sana. Nyerere aliingia madarakani nchi ikiwa haina kiwanda, haina vyuo haina makampuni. Kwa kuona umuhimu wa uvchumi wa Watanzania kuwa mikononi mwetu akaamua kusomesha Watanzania bure mpaka vyuoni ili kuhakikisha uchumi wetu unakuwa mikononi mwetu na yeye mwenyewe hakufanya ufisadi hata kidogo na ufisadi kama huu tunaouona sasa haukuwepo kabisa. Mwinyi kajihusisha na ufisadi, Mkapa naye ni fisadi na Kikwete kama si mafisadi basi asingeingia madarakani maana walimchangia mabilioni aliyoyatumia kuwahonga wajumbe ili wampitishe kama mgombea wa CCM, hii siyo siri hata kidogo.
 
Zakumi,
Angepelekwa jela kwa kosa lipi? So far tulizonazo ni allegations za misconduct ya mkewe, sasa hebu linganisha na ushahidi uliopo wa mamilioni ya Chenge au Richmond ya Lowassa.

Nchi inaangamia na itazidi kwenda kombo kama JK ataruhusiwa kuendelea.

Ni kweli Kikwete hafai kabisa na wana CCM wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu waanze kuwashawishi wanachama ndani ya chama hicho ambao wana sifa za kuwa Rais kama vile Mwakyembe wajitokeze kumpinga Kikwete maana kama hii awamu yake ya kwanza amevurunda hivi basi awamu ya pili hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Hakuna mahali popote palipoandikwa kwamba Rais wa Tanzania ni lazima akae madarakani awamu mbili. Kama awamu moja kazi imemshinda basi awekwe pembeni.
 
Zakumi,
Mkuu Kitine na Nyerere imenzia wapi?.. Nyerere aliboronga lakini haihusiani na Kitine isipokuwa wapo watu kama kina Mwinyi na Mkapa waliboronga baadaye kupewa Urais wa nchi..Ndio kienyeji tunayozungumzia..
 
Huwezi ukafananisha matatizo yaliyokea wakati wa Nyerere na awamu ya pili, ya tatu na ya nne kuna tofauti kubwa sana. Nyerere aliingia madarakani nchi ikiwa haina kiwanda, haina vyuo haina makampuni. Kwa kuona umuhimu wa uvchumi wa Watanzania kuwa mikononi mwetu akaamua kusomesha Watanzania bure mpaka vyuoni ili kuhakikisha uchumi wetu unakuwa mikononi mwetu na yeye mwenyewe hakufanya ufisadi hata kidogo na ufisadi kama huu tunauna sasa haukuwepo kabisa. Mwinyi kajihusisha na ufisadi, Mkapa naye ni fisadi na Kikwete kama s mafisadi basi asingeingia madarakani maana walimchangia mabilioni aliyoyatumia kuwahonga wajumbe ili wampitishe kama mgombea wa CCM, hii siyo siri hata kidogo.

No offense BAK BAK:

Hakuna tofauti yoyote hile. Mlivumiliana na sasa mnakula matunda ya kile mlichopanda (period).
 
No offense BAK BAK:

Hakuna tofauti yoyote hile. Mlivumiliana na sasa mnakula matunda ya kile mlichopanda (period).

Tulivulimiliana na nani!? 😕
Wewe kama huoni tofauti iliyopo ya Uongozi wa Nyerere na Kikwete na wengineo basi una matatizo makubwa sana.
 
Tulivulimiliana na nani!? 😕
Wewe kama huoni tofauti iliyopo ya Uongozi wa Nyerere na Kikwete na wengineo basi una matatizo makubwa sana.

Matatizo yako unaangalia awamu na kulinganisha. However, the critical fact remain the same kuwa bado nchi inaendeleza utawala hulehule. Mfumo wa utawala huu ulikuwa effective kuanzia 1967 mpaka 1977. Baada ya hapo mfumo mzima ni mzigo.

JK amerithi katiba ya nchi. Watendaji na hata makosa mengi yanayoonekana sasa.

Kinachotakiwa sio kukaa na kulinganisha awamu. Inabidi mfumo mzima ubadilike.
 
Katiba ya nchi hakuna popote ilipoandikwa kwamba tutasaini mikataba ya rasilimali zetu kwa bei ya kutupa, hakuna kipengele chochote kinachosema Rais atawakingia kifua mafisadi ndani ya chama na serikali na kuwaachia wapete uraiani. Hakuna kipengele chochote kinachosema pindi mafisadi na wahujumu uchumi wanapokuwa matajiri wa kubwa basi hakuna umuhimu wa kukamata kwa sababu kufanya hivyo kunaweza kusababisha nchi kuwaka moto. Maneno hayo yalitamkwa na Waziri Mkuu akiwa pamoja na Inspektor General wa polisi na Mwanasheria Mkuu na Rais wa nchi hata hakutia neno kupinga kauli hiyo mbovu. Pamoja na Kikwete kurithi katiba ile ile lakini tofauti ya uongozi wake na Nyerere ni kama usiku na mchana na hata hao wa awamu ya pili na ya tatu.
 
BAK BAK

Una matatizo makubwa. Sasa una lalamika nini wakati katiba hiyo hiyo haikusema kuwa mikataba ya rasimali zenu ziwe za bei ya juu.

Kuna vyombo vya sheria mbalimbali na vilevile kuna bunge ambalo lina madaraka makubwa kuzidi rais. Je ni kazi ya rais kuvifanya vyombo vingine vifanye kazi ?

Je ni rais anayefanya kazi BOT au TANESCO ?

Ninashangaa kumleta Mkapa humu wakati Mkapa alikuwa hand picked na Nyerere. Na JK, mliita zawadi ya MUNGU. Wakati hajachaguliwa watu mlikuwa mnasimamisha misafara yake.

Now you in a pile of sh!!t mnaanza kumlaumu, kwani JK hamkumjua kabla ajachaguliwa?
 
BAK BAK

Una matatizo makubwa. Sasa una lalamika nini wakati katiba hiyo hiyo haikusema kuwa mikataba ya rasimali zenu ziwe za bei ya juu.

Gee!!! Kwa maana nyingine wewe unaona sawa tu wachukuaji kutuachia 3% ya mapato ya dhahabu yetu na wao kuchukua 97%!!! Inaelekea na wewe ni mooja wa wale walioweka maslahi ya chama mbele badala ya Watanzania!!

Kuna vyombo vya sheria mbalimbali na vilevile kuna bunge ambalo lina madaraka makubwa kuzidi rais. Je ni kazi ya rais kuvifanya vyombo vingine vifanye kazi ?

Wabunge wengi wa bunge letu wanatoka CCM chama ambacho kiongozi wake ni Kikwete. Watanzania haturidhishwi kabisa na utendaji wa Bunge hilo. Kiongozi wa Serikali wa shughuli za Bungeni ni Waziri Mkuu. Siyo siri kwamba Watanzania haturidhiki na Bunge na Kikwete angweza kabisa kuwaita Spika na Pinda kama kiongozi wa CCM na pia Rais wa nchi ili kuhakikisha utendaji wa Bunge unakidhi matarajio ya Watanzania na siyo kuliburuza buruza Bunge na kuminya uhuru wa wawakilishi wa Wananchi kama anavyofanya Sitta. Amezuia kashfa ya Vitambulisho kujadiliwa Bungeni. Amezuia kashfa ya Kiwira kwa mara nyingine tena kujadiliwa Bungeni. Kikwete angekuwa ameweka maslahi ya nchi mbele angweza kabisa kukemea maamuzi haya ya spika, lakini yuko kimyaaaaaaa kwa maana nyingine anaridhika na utendaji mbovu wa Wabunge na pia Sitta kuminya uhuru wa Wabunge.

Je ni rais anayefanya kazi BOT au TANESCO ?

Sijui hapa unataka kusema nini!!!

Ninashangaa kumleta Mkapa humu wakati Mkapa alikuwa hand picked na Nyerere. Na JK, mliita zawadi ya MUNGU. Wakati hajachaguliwa watu mlikuwa mnasimamisha misafara yake.

Mwalimu mwenyewe pamoja na kuwa ndiye alimsaidia Mkapa kuwa Rais tayari alikuwa ameshaaza kuhoji maamuzi na sera za Mkapa. Mbona unakurupuka sana!? Hivi hukumbuki ni nani waliotamka kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu!? Kwa hiyo kama watu walikuwa wanasimamisha misafara ya Kiwete na sasa kuna kila dalili uongozi wa nchi umemshinda basi watu wanyamaze tu na kuiacha nchi iangamie!!!? Hivi ni kipi hasa unataka kutetea hapa!?😕

Now you in a pile of sh!!t mnaanza kumlaumu, kwani JK hamkumjua kabla ajachaguliwa?

Whaaaaaaaat!? Are you in your right mind!!!? 😕
 
..kilaza kikwete amekosea sana kutumia sherehe za kawawa kuwashambulia wastaafu ..unajuwa hata kama baba haina maana kama ulifanya makosa ukiwa kijana inakunyima haki kusema mwanao au kijana wako ili naye asipite njia yako....
kila zama zina makosa ...lakini kama tunataka kutumia busaRA za wastaafu tuwaache na uhuru wa kujieleza....freeedom of speech..kwa wote,kutishana kumepitwa na wakati..na wengine wanawatishia kuwa wakiendelea kuwasema watawashtaki kwa makosa waliyofanyaga zamani..thats a nonsense....screw muungwana!

nadhani kama ni kushitakiwa na yeye ajiandae atueleze kwa nini anajengewa majumba na subash..pale bagamoyo,chalinze,.migombani...,na ghorofa pale mitaa ya jamuhuri...kwanza tunashangaa anaharaka gani ya kujijenga haraka namna hiyo....kama vile hana uhakika na second term..tena ukizingatia ana haki ya kuhudumiwa na serikali...

pia anatakiwa atueleze ile biashara yake ya kupeleka ngombe comoro inaendeleaje....nangombe wa ranch za taifa ...muuzaji wake mkuu ni nani..?

tunataka kujuwa undani wa michango ya 2005...kutoka benki kuu,wafanyabiashara[wanalipwaje?? wale waliokopwa]...ile iliyotoka IRAN na CONGO .anailipaje...!!//###@@@

kama kikwete hataki wastaafu waseme ..basi hata mawe ya mtoni hayatakaa kimya kwa anakotupekeka....fl...

haheshimu wastaafu ....ndio maana hata wale waliolala uchi pale salender bridge amewanyamazisha kimafia ...kama ambavyo anataka kuwafanyia vigogo wenzake....enzi za utawala wa kimax umepitwa .....watu waongeeeee....

na sasa ameunda mtandao unaosaidiwa na magazeti fulani yakiwemo yenye mrengo wa kiimani kubeba vichwa vya habari ..kuwachafua wenzake...sijui kwa nini mtu anashindwa kazi anataka ionekane kama kupingwa kwake ni suala la imani au kabila..nyerere alisema huko ni kufilisika.....mnali could be better in presidency than kikwete ..though we know the post belonged to SALIM AHMED SALIM!!!!

mpaka mwisho tutabakiwa na historia inayoeleza wazi....JAKAYA KHALFAN MRISHO KIKWETE ...RAIS MZEMBE KULIKO WOTE TANZANIA [TANGANYIKA NA ZANZIBAR] KUPATA KUWA NAYE....!!
 
Naona mlango wa kutumia rungu la chuma una anza taratibu kufunguka kama huamini ngojea uone mwakani karibu na uchaguzi mkuu .
 
frederick sumaye hakukosea pale aliposemaga "tujihadhari na viongozi ambao wanatumia kalamu[wizi wa kalamu na kuchafuana].....watatumia bunduki kusalia madarakani..."...

kikwete anapoelekea ni kwenye udikteta ....siasa za makundi..etc..
 
Back
Top Bottom