YaisheHapo sawa tutaongea sasa,
Haya andiko jingine hili hapa Matendo 10:9-16 Mtume Petro alionyeshwa maono ya kila aina ya wanyama (wakiwemo wasio safi), na Mungu akamwambia: "Usikiharibu kitu ambacho Mungu amekitakasa."
Warumi 14:14
Paulo asema “Najua na kusadiki katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake...”
Kwa hiyo Kulingana na sheria ya Musa (Agano la Kale) Nguruwe ni haramu kwa Waisraeli.
Na Kulingana na neema ya Kristo (Agano Jipya) Vyote ni safi, ila mtu asimkoseshe mwingine kwa chakula chake.
All in all wewe Kama unaongozwa na dhamiri yako au imani fulani ya kutokula, ni sawa kabisaa.. Lakini katika Kristo, si lazima kushika sheria ya kutokula nguruwe.
na kusadiki katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake..
Unachangamoto ya afya ya akiliWewe kwa hiyo head yako kama punje ya mchele hauhitajiki kujibiwa (siyo kupingwa) kwa andiko.Kuna vitu vipo wazi vinajieleza tu bila maandiko.Kwa mfano,mtu akikuambia amekunya na unayaona aliyokunya,utambishia na kumtaka akuoneshe utumbo wake?
NB;Mimi ni mchokozi sana.
Yaani biblia sijui watu huwa wanaisomaje jamni, mfano lile fungu la tajiri kuuona ufalme wa mbinguni mstari huo unatoka kwenye Mathayo 19:24, unasemaWewe kwa hiyo head yako kama punje ya mchele hauhitajiki kujibiwa (siyo kupingwa) kwa andiko.Kuna vitu vipo wazi vinajieleza tu bila maandiko.Kwa mfano,mtu akikuambia amekunya na unayaona aliyokunya,utambishia na kumtaka akuoneshe utumbo wake?
NB;Mimi ni mchokozi sana.
Mbona nimegraduate mwaka 1999 chuoni pale Milembe na kutunukiwa shuka limeandikwa AFYA AFYA AFYA.Huwa nalitandika sakafuni kama zulia kila jumapili.Unachangamoto ya afya ya akili
Wabheja sana😅Hi
Yaishe
We ni mchokozi 😂Mbona nimegraduate mwaka 1999 chuoni pale Milembe na kutunukiwa shuka limeandikwa AFYA AFYA AFYA.Huwa nalitandika sakafuni kama zulia kila jumapili.
Kuna kipindi unakuwa chizifresh tu kwa wandugu kama huyo.Unajitia uzuzu zaidi yake ili muende bampa kwa bampa/bumper to bumper!We ni mchokozi 😂
Watapata Fee Fee Fee Feee mpaka basi.Kushindana na kitimoto ni sawa na kushindana na gwajima, utashindwa tu......
Hawajamuonja tu nakuhakikishia hawatojutia kamwe..!Kushindana na kitimoto ni sawa na kushindana na gwajima, utashindwa tu......
Wanasema midomoni tu.Mbona wengi wao tunakula nao kwa furaha kabisa!?Hawajamuonja tu nakuhakikishia hawatojutia kamwe..!
KabisaYaani biblia sijui watu huwa wanaisomaje jamni, mfano lile fungu la tajiri kuuona ufalme wa mbinguni mstari huo unatoka kwenye Mathayo 19:24, unasema
"Tena nawaambia, ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu."
Yesu alitumia mfano huu kuonesha jinsi ilivyo vigumu kwa mtu tajiri ambaye amefunga moyo wake kwa mali kuingia katika ufalme wa Mungu. Haimaanishi kuwa kila tajiri hawezi kuokoka, bali inalenga kuonya juu ya hatari ya kutegemea mali kuliko Mungu.. sasa kila mtu akisoma biblia kama gazeti huwa inakuwa ngumu mno kumuelewesha we need the Holy spirit in this…
Ni wagalitia peke yao ndio wanatafuna mdudu?Bas mlitoe Kwenye biblia yenu
Agano la kale linasemaje
Watu kama nyinyi ndo lisu anawapiginia hata uwezo wa kureason hoja ndogo huna utaweza ongoza hata familia ww kama ni kilaza hiviNi wagalitia peke yao ndio wanatafuna mdudu?
Kila mmoja atoe hisia na dukuduku lake ili baadaye tunywe mbege tukiwa hatuna husda.Wakuu!
Niongezee sautii ama?
Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
Duniani hakuna swali la kijinga.Wewe mjibu swali lake.Mambo ya kuongoza familia atasaidiana na mkewe.Watu kama nyinyi ndo lisu anawapiginia hata uwezo wa kureason hoja ndogo huna utaweza ongoza hata familia ww kama ni kilaza hivi
Msikilizeni huyu ms#geWatu kama nyinyi ndo lisu anawapiginia hata uwezo wa kureason hoja ndogo huna utaweza ongoza hata familia ww kama ni kilaza hivi