Shida ilianzia kwa Nyerere kutuunga na hawa wasio na huruma na Tanganyika. Sasa kizimkazi inatuhusu nini kwa mfanoSasa kila mtu atakuja na jina lake maana hii nchi kama haina mwenyewe sasa.Lakini yote haya shida kubwa ilianza na yule mtakatifu wa Chato sijui huyu bibi alimchota wapi jamani?
Bimsumi ni ingizo la Msoga one, Kato chaguo lake ilikuwa Hussein Mwinyi.Sasa kila mtu atakuja na jina lake maana hii nchi kama haina mwenyewe sasa.Lakini yote haya shida kubwa ilianza na yule mtakatifu wa Chato sijui huyu bibi alimchota wapi jamani?
KabudHiyo ni nafasi ya wazee
Kama unajua kubet vizuri, tafuta mzee wa hovyo unayemjua mbashirie kuwa atakuwa VP naamini mkeka wako utatiki
Kujadili mapumbavu ni kupoteza muda ccm ni mapumbavu
Tabu tupu yani sahivi hakuna kinachoelewekaShida ilianzia kwa Nyerere kutuunga na hawa wasio na huruma na Tanganyika. Sasa kizimkazi inatuhusu nini kwa mfano
Huyu mzee wa Msoga naye ni mzigo basi tu hakuna namnaBimsumi ni ingizo la Msoga one, Kato chaguo lake ilikuwa Hussein Mwinyi.
Lini sote tuliwai kukubali kua mambo yanaenda vizuri nchini? Kuanzia kabla ya uhuru mpaka leoInawezekana tu kwani wanajali? Angalia mambo yanayoendelea nchini
Baki na tetesi zakoSiyo kweli
Tetesi zinasema ni Josephat Gwajima
Kuliko huyo ni Bora hata Mzee wa Gombe pamoja na uzee,kwani ni Bora Mzee mnaa kuliko kijana mnaa🤔Kuna very reliable trusted sources viungani ubalozi Sweden. Ni vijana wangu wana ni brief kila mara maswala sensitive ya taifa le kuwa Kitila Mkumbo akae standby.
Ikumbukwe Kitila ndo alikuwaga choice ya mama lakini Yuda akalazimishwa.
Bado nasubiri updates zingine kutoka kwa vijana wangu wengine Rama na Frenki, huko Dar na Dodoma.
Muwe wavumilivu tu nitazidi kuwa brief na kuwa update.
Filomena taxi.Kuna very reliable trusted sources viungani ubalozi Sweden. Ni vijana wangu wana ni brief kila mara maswala sensitive ya taifa le kuwa Kitila Mkumbo akae standby.
Ikumbukwe Kitila ndo alikuwaga choice ya mama lakini Yuda akalazimishwa.
Bado nasubiri updates zingine kutoka kwa vijana wangu wengine Rama na Frenki, huko Dar na Dodoma.
Muwe wavumilivu tu nitazidi kuwa brief na kuwa update.
Yaani kwa sasa kinashikiliwa na mapolisi wachache. Soon nao watachoka!Naona kabisa.Hiki chama kitakuja kuanguka vibaya