Kitila Mkumbo awakosoa CHADEMA juu ya kuwafukuza wabunge wa viti maalum

POYOYO!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Vipi yeye kule aliko sasa zilikuwa zinapigwa kura za aina gani na bungeni huwa inapigwa kura ya aina gani
 
Yaani uwe na wabunge ambao hawachaguliwa na wamegushi kwenda bungeni halafu uone poa! sasa hiko kitakuwa chama gani ! Chadema hawajakosea kwenye hili ni CCM tu ndiyo walitaka wapate kitu cha kuwasema Chadema na hawajafanikiwa. Mkumbo naye alifukuzwa kama hawa sasa hawezi kusema mazuri
 
Huko mjengoni wote ni viti maalumu .
 
Kumbe Ccm na bunge wana jua hawa covid 19 wamefukuzwa? Sasa mahakama ina subiri nini?
Hawa wanao jiita sijui Phd sijui Dr nimetokea kuwadharau sana yaani wamezidi kukariri mambo.
 
huyo kala hadi kavimbiwa, atueleze alinunuliwa na ccm kwa sh ngapi
 
Kuna kosa la kuvumiliana lakini sio hili.

Tena hawa mbona adhabu yao imekuwa ndogo tu, amesahau marehemu alitufundisha adhabu ya msaliti ni nini?
Kwa mujibu wa mwendakuzimu Jiwe msaliti anapaswa kuuawa hivyo basi kwa standards za Jiwe ina maana CHADEMA wamewaonea huruma sana hao Covid19 .
 
ETI Msaliti MM2 ana ujasiri wa kujitokeza na kutetea usaliti na Wasaliti. Waungane tu waende UMOJA party.
 
Kitila mkumbo ni mpumbafu kama wapumbafu wengine.

Hana mapya na kwa ubungo ashukuru mwendazake alimpa ubunge
 
Hawa ndio wale 'ma-propesa' wanaoishi kwa kupiga magoti ili waishi!
Unapokuwa na elimu kama hii halafu unaishi kwa unafiki na undumilakuwili ni kuidharaulisha taaluma!
Hivi ni professor kwenye nini. Maana hizi taaluma za art siko familiar nazo
 
Ameongea kama mwalimu sio kisiasa , kura ya wazi ni UHUNI na uchonganishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…